Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Shemeji kumbe roho na sura yako viko saresare. Hapo na uhandsome huo ukiongezea na machale, mhhh! Hongera kwa maamuzi magumu mwaya.
Hahahahahaha! Sura na roho sare sare?? Mke mwenza mwambie shemeji Paw nahitaji mbavu za bandia lol.
 
Last edited by a moderator:
sweetlady nimekuandalia mvinyo aina uipendayo na kilaji cha uhakika njoo mazoezini
 
Last edited by a moderator:

Pole sana bibie! Unaongea kwa uchungu sana! Hata mimi nilimwambia nitonye ashinde vishawishi lakini inaonekana vimemshinda!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mambo haya yanatusaidia nini jamani?? Nisaidieni mwenzenu sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…