Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Kweli kabisa nashuhudia mengi huku mtaani ndoa za 2019 kupanda juu zina vurumai sana...nadhani ndo mambo ya maisha ya mitandaoni yamekolea...
Mkuu ukimshirikisha Mungu kwny mipango yako hatokutupa...
MATHAYO 24:12-13.
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kijana alianza kujitegemea kitambo binti alikuwa kwao lakini walikuwa wakikutana, huwezi kusema miaka 8 hamjawahi kukutana kimwili!
Kama walikuwa hawaishi wote, miaka 8 siyo mingi na siyo sababu maana unaweza kuta kwa mwezi wanakutana mara 1. Kwa hiyo kwa mwaka wamekutana mara 12. Kwa miaka 8 ni mara 96 ambazo ni chache sana kumjua mtu.

Kumjua mtu mpaka uishi naye concercative ile pika pakua. Kama wangeishi miaka 8 pika pakua wasi gevunja ndoa yao maana kila mmoja anamjua mwenzake.

Haya mahusiano ya muda mrefu ila hawakai pamoja, lazima kila mmoja atakuwa na mahusiano mengine ya pembeni na ni ngumu kumjua mwenza wako vizuri.

Tatizo la siku hizi, wanawake wanatofautisha kuishi na mwanamme na kufunga ndoa. Wao wanathamini sana kufunga ndoa ila si kuishi na mwanamme.

Hapo jamaa alijichanganya, alipaswa kwanza aishi naye ndo afunge naye ndoa. Kuna wanawake hawawezi ishi na mwanamme katu, ila kufunga ndoa wanataka kisha wanaivunja wenyewe.
 
Trust me.
Tatizo lipo kwa mwanaume hapo.
Mwanaume atakuwa ni shoga aka mchicha mwiba.

Ndoa za dizaini hiyo zinaishiaga hivyo,kimya kimya kwa kufichiana aibu
 
tiGo imehusika.
 
"Kwa kadiri bao linavyozidi kuwa zito ndipo linapoongezrka utamu"
Mwisho wa kunukuu
 
Nahisi mambo mawili, Moja yaweza uwa alitambulishwa rasmi Siri ya Mali (mfano kulala na joka kubwa jeusi kitandani), mbili yaweza kuwa bibie aligundua jamaa ananyanduliwa labda Kwa kuona sms jamaa alizochati na Basha wake
 
Biashara za kariakoo zisikie hvyo hvyo kuna uchawi pale hatari usione watu wanapesa jaweza kimbia pesa kwa mambo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…