Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Kuna ukweli umejulikana baada ya ndoa na mmoja wao hajaweza kuubeba.
Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023.

KILA MTU HAELEZI TATIZO
Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei tatizo ni nini, mwanamke hana nia ya kurudi tena na kaenda kwao!!

Kama watu hawa hawapendani, Je waliwezaje kudumu kwa miaka 8?Je kataa ndoa wana point tuwasikilize 😀?
 
Kaomba nyuma huyo
 
Ndoa ndoano.

Ile miaka 8 ilikuwa mahusiano ya hiari.

Ndiyo maana wamedumu muda wote huo.

Kwenye ndoa ni mahusiano ya lazima. Huyu ni mke wangu, nimemuoa. Nimemtolea mahari. Nimemnunua. Hili jiko langu.

Ndiyo maana miezi miwili tu, kwishney.
Una hoja.

Hiyo miezi miwili wameishi chini ya shinikizo, hawaishi maisha yao.
 
Siku hizi ni hatari Kalpana kama tunawindana vile kwenye mahusiano....moyo wa mutu bonge la chaka kupata chaka zuri si jambo dogo mpaka mzeeke wote
Kweli kabisa nashuhudia mengi huku mtaani ndoa za 2019 kupanda juu zina vurumai sana...nadhani ndo mambo ya maisha ya mitandaoni yamekolea...
Mkuu ukimshirikisha Mungu kwny mipango yako hatokutupa...
 
Mimi mwana ndoa kafunga mwezi wa 11.. mwezi wa 12 kaondoka home kwake bila taarifaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] katafutwaa kila konaa kuja kukutwa anadai eti hawezi ishi na mwanamke ana mdomoo daah tulidataaa
Lawama zote ziende kwako.

Mwanamasihara mkubwa wewe.
 
Back
Top Bottom