Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Ndoa ndoano.

Ile miaka 8 ilikuwa mahusiano ya hiari.

Ndiyo maana wamedumu muda wote huo.

Kwenye ndoa ni mahusiano ya lazima. Huyu ni mke wangu, nimemuoa. Nimemtolea mahari. Nimemnunua. Hili jiko langu.

Ndiyo maana miezi miwili tu, kwishney.
Bonge la pointi.

Hiyari siku zote yashinda utumwa.

Hapa tupo kujaribu kutatua changamoto ya ni namna gani mtu atakuwa kwenye ndoa yoyote ile na akaendelea kujihisi 'anahiyari' maisha ya ndoa.

Hiyari ndiyo inayowezekanisha upendo kuwepo. This is one of the code we live by.

Wanandoa wote, chukueni pointi hiyo.
 
kuna vijitabia ambavyo kila mmoja anavyo na wameshindwa kuvumiliana
Hapa nakuunga mkono 100% unakua mkiishi mbali mbali ni rahis sana kuzunga.
Kama ni siku ya mchuano, unategea mida unampakia mkongo show inakua show.. au manzi anajipiga ki vibrator mapema anaenda uwanjani
Sasa mkiwa ndani ya nyumba haya sio rahis kuyaficha kwa siki nying
 
Back
Top Bottom