Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

Mkuu nimeshuhudia ndoa tatu za rafiki zangu wa karibu zote zilichukua miezi sita kuvunjika na gharama kubwa zilitumika, wa kwanza mke wake alimfungulia mradi akawa anatembea na wanaume huku kwenye mradi, wa pili kipato kiliyumba na ndoa ikaingia mdudu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dunia inafich ukweli haitaki watu wakajua ila haya mambo ya mwanamke kujitafutia ni risk kweny ndoa...
 
simu itakuwa imefichua kitu
 
Hiyo taasisi ni ya kihuni ni wizi jamaa kastuka hawezi ibiwa maisha hawezi fanyiwa uhuni maisha kayasoma miaka 8 kaingia mafunzo in reality miezi tuu kafaulu mtihani.
 
Miaka nane walikuwa hawalali na kuamka pamoja asbuhi mkuu,unajua tunavumilia Mengi harufu za midomo hasa asbuhi,kujambiana,kukoroma kama he jenereta.Na ndio maana mahusiano ya nje yanathaminiwa maana KERO hizi hazipo.
 
[emoji16]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dunia inafich ukweli haitaki watu wakajua ila haya mambo ya mwanamke kujitafutia ni risk kweny ndoa...
Unaweza oa golikipa lakini ukaishia kutubu.
Mwanamke anajua dume unafanya kila kitu kukidhi mahitaji. watoto wapo shule mwisho wa siku anabaki home alone we uko michakatoni, kafua, kaosha vyombo, kapika kinachobaki anakaa kwenye TV idle, na siku zote idle mind hapo ndo nyumba ya shetani anaweza akapita muokota makopo afu bibie akamuita achukue makopo ndani akampa na kopo lake la chini ya kitovu, hii jinsia ishi nayo kwa akili piga pita hivi siku hizi hamna kituo.

Nje na hapo labda ujitoe ufahamu kwamba hata akiliwa acha aliwe, wengine hiyo tumeshindwa tuna ogopa murder case/
 
Kweli kabisa Kuna demu kaolewa hata miezi sita hajafikisha.

Kashaanza kukukipeleka kwa ex wake.

Na Wana tunajua.

Just imagine
 
Kweli kabisa Kuna demu kaolewa hata miezi sita hajafikisha.

Kashaanza kukukipeleka kwa ex wake.

Na Wana tunajua.

Just imagine
Mkuu ni majanga si wenye hasira za mlipuko tumeamua kukaa pembeni, acha malofa waoe si tunasaka mahela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…