Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume


Tangu lini neno la Paulo au mtume likawa Amri au sheria ya Mungu (Torati)
Hayo ni maoni ya Paulo Kwa Wakorintho na sio sheria ya Mungu.
 
SHIDA SIO KUOA WAKE WENGI,

SHIDA WENYE SIFA ZA KUWA "MKE" HAKUNA
HAO WANAOSHINDA KANISANI, HAO WAKO KWENYE KUJIFARIJI.
TENA HAO WA KANISANI NI WA KUOGOPA KWA SBB YA MAIGIZO MENGI WALIO NAYO
Halafu maigizo mengine hadi unashangaa..!! Yaani yalitakiwa yafanywe na shetani lakini anayafanya mshinda kwa kanisa
 
wazazi huwa hawalei mtoto kama haki
wanalea kama investment itakayowalipa baadae kwahiyo wakitajiwa mahari kama hio kwa kitu bidhaa walioivundika wanaona hela hio haina thamani.
ni wazazi wachache sana ambao wanalea kama wajibu na kutomfunga mtoto kama bidhaa yao
 
Hayo madaraja ya Manabii ni kwa mujibu wa kitabu gani mkuu hebu fafanua, halafu mafundisho ya Paulo hayakumpinga Yesu, maana hata Yesu hakuwahi kuoa wala kulala na mwanamke
 
Paulo ndo aliyezingua,alileta sheria za kirumi ndani ya ukristo,
 
Endelea kukaza fuvu huku dada zenu wakiendelea kuona kuolewa ni kama jambo Fulani la muujiza hivi kumbe ni kitu kidogo tu

Na tutaendelea kuwagonga tukiwaahidi ndoa mpaka wazeekee makanisani
 
Mzee Mwinyi alisema mke mmoja anasababisha BP bure!

Ila ukweli ni kuwa uislamu unayaishi maisha ya manabii na mitume wa Mungu, Suleiman na Daudi hawakuipiga kufuli miili yao ilipodemand kipozeo still Mungu hakuwachukia
Aisee.
 
Umefundisha vizuri sana, ubarikiwe. Bwana Yesu asifiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…