Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi.

Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye uwezo wa kuoa wapo wachache zaidi na sheria ni kuoa mke moja, hao wanaume wengine mnategemea watokee wapi?

Wakristo wa kiafrika walikosea sana kufuata mitazamo ya ulimwengu ya wamishonari wa Ulaya walioleta Ukristo barani Afrika na kuacha mitala na mila ambayo ilikuwa imeenea kipindi cha manabii wa kwenye Biblia. kina Esau, Musa, Daudi, Elkana, Mfalme Solomon, n.k.

Kuna sehemu hata moja Mungu alipinga ama kuchukizwa na wao kuoa zaidi ya mke moja ?

wakristo wapitie upya mafundisho ya ndoa ya mke mmoja maana hakuna mstari nabii yoyote alietumwa na Mungu kukataza jambo hili.

Ni muhimu ili "kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka kanisani bila waume"

Mitala ilizoeleka na jamii nyingi za kitamaduni za Kiafrika na tamaduni ya Kiyahudi pia ilikuwa ya wake wengi, ilianza kufifia baada ya kuanzishwa kwa Ukristo ulioegemea zaidi tamaduni za kizungu ambako waligeuza sheria zifuate zaidi tamaduni zao za kuo mke moja.
Acha waliwe pesa zao na wachungaji matapeli
 
Wote hao walikuwa ni wajumbe wa Mungu lakini pia wote walikuwa binadamu, sasa msichague maandiko kwamba la huyu lilikuwa sahihi ya huyu hapana kwa sababu tu la huyu linawafavour ila ya huyu haliko upande wenu, hata Suleman alikuwa binadamu kama ninyi tu
Labda nikusaidie kuna binadamu, halafu kuna binadamu ambao ni Mitume wa Mungu,hawa wananguvu fulani kutoka kwa Mungu

Yaani wanamawasiliano naye ya moja kwa moja, na Suleimani aliwazidi mitume wengine, sababu yeye alikuwa mtawala yaani mfalme kama baba yake Daudi,inamaana dola ilikuwa chini yake

Tofauti na Mitume wengine kama Musa, Yesu, na Mtume Muhammad (S.A.W)
Sasa ukija kwa Paulo, yeye hakuwa mtume, wala hakuwa mwanafunzi wa Yesu, yaani alikuja akimkuta Yesu alishaondoka zamani

Ndiyo maana mafundisho yake mengi yaanapingana na Yesu, au kwa namna moja yeye ndiye aliyeanzisha Ukristo
 
Hata wakiolewa kumi kumi still watabaki,hata wakizipata ndoa hawaziheshimu
Hahahah we ungejua wanawake hupenda competition wala usingesema hivyo. Wanawake hawapendani naturally hivyo wakiwa pamoja wata compete kutaka ku win attention yako mda wote.

Unachotakiwa kufanya ni ku split upendo tu. Kimsingi lazma uinjoy maana yule ambaye atakuwa mkaidi ni kumkatia attention kidogo anajirekebisha.
 
Sahihi kiongozi. Maana Binti ametulia kabisa, anafika umri wa thelathini hakieleweki. Wala hakuna matumaini, competitors wameongezeka. Kibaya zaidi soko la mahusiano in it's nature linaprefer new comers. Binti anaona kabisa waliokuwa wanamtongoza wameoa wasichana wadogo kwake, anakosa faraja na matumaini, anaona kama ndoa amekosa Bora apate mtoto tu. Tayari anaitwa single mother. Kuolewa historia. Kwa mazingira haya huwezi kumcondem.
Walipata nafasi wakachezea walipokuwa kwenye ubora wao

Wakati mwingine baadhi yao hata sio wa kuwaonea huruma
 
Wakristo Sio wayahudi.

1 Wakorintho 7​

Neno: Bibilia Takatifu​

Kuhusu Ndoa​

7 Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. 2 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
Kha! We unaamini hayo ni maneno ya Mungu kweli, hizo ni porojo.
 
Hata wakiruhusu hawataoa
ndoa ya kikristo garama sana
juzi kuna sherehe tumefanya ya mil 25+ mimi kama mwanakamati nikawaza tunasafari ndefu sana mpaka kuolewa
Moja ya sababu na nia ya kuzuia zina ni kuruhusu ndoa za mitala kwa wenye uwezo na kufanya mahari yawe rahisi.
Lkn wazazi weng saiz wapo tyr binti yao aziniwe miaka yake yote lkn sio kuolewa kwa laki 5,6, 7, wanakwambia kabisa uyu humuoi. Lkn wanakuhalalishia uendelee kumzini. Ni msiba mkubwa huu
 
Back
Top Bottom