Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Acha waliwe pesa zao na wachungaji matapeli
 
Labda nikusaidie kuna binadamu, halafu kuna binadamu ambao ni Mitume wa Mungu,hawa wananguvu fulani kutoka kwa Mungu

Yaani wanamawasiliano naye ya moja kwa moja, na Suleimani aliwazidi mitume wengine, sababu yeye alikuwa mtawala yaani mfalme kama baba yake Daudi,inamaana dola ilikuwa chini yake

Tofauti na Mitume wengine kama Musa, Yesu, na Mtume Muhammad (S.A.W)
Sasa ukija kwa Paulo, yeye hakuwa mtume, wala hakuwa mwanafunzi wa Yesu, yaani alikuja akimkuta Yesu alishaondoka zamani

Ndiyo maana mafundisho yake mengi yaanapingana na Yesu, au kwa namna moja yeye ndiye aliyeanzisha Ukristo
 
Hata wakiolewa kumi kumi still watabaki,hata wakizipata ndoa hawaziheshimu
Hahahah we ungejua wanawake hupenda competition wala usingesema hivyo. Wanawake hawapendani naturally hivyo wakiwa pamoja wata compete kutaka ku win attention yako mda wote.

Unachotakiwa kufanya ni ku split upendo tu. Kimsingi lazma uinjoy maana yule ambaye atakuwa mkaidi ni kumkatia attention kidogo anajirekebisha.
 
Walipata nafasi wakachezea walipokuwa kwenye ubora wao

Wakati mwingine baadhi yao hata sio wa kuwaonea huruma
 
Kha! We unaamini hayo ni maneno ya Mungu kweli, hizo ni porojo.
 
Hata wakiruhusu hawataoa
ndoa ya kikristo garama sana
juzi kuna sherehe tumefanya ya mil 25+ mimi kama mwanakamati nikawaza tunasafari ndefu sana mpaka kuolewa
Moja ya sababu na nia ya kuzuia zina ni kuruhusu ndoa za mitala kwa wenye uwezo na kufanya mahari yawe rahisi.
Lkn wazazi weng saiz wapo tyr binti yao aziniwe miaka yake yote lkn sio kuolewa kwa laki 5,6, 7, wanakwambia kabisa uyu humuoi. Lkn wanakuhalalishia uendelee kumzini. Ni msiba mkubwa huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…