Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

SHIDA SIO KUOA WAKE WENGI,

SHIDA WENYE SIFA ZA KUWA "MKE" HAKUNA
HAO WANAOSHINDA KANISANI, HAO WAKO KWENYE KUJIFARIJI.
TENA HAO WA KANISANI NI WA KUOGOPA KWA SBB YA MAIGIZO MENGI WALIO NAYO
 
Pamoja na kwamba umeyaandika mengi, LAKINI KWA VIPANDE NILIVYOVISOMA, NIMEKUELEWA SANA. Asante sana kwa hili
 

Kumbukumbu 17:17 (NEN); Kamwe asioe wake wengi, la sivyo moyo wake utapotoka.​

 
Ndoa sio ya kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…