Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

Hata wakiruhusu hawataoa
ndoa ya kikristo garama sana
juzi kuna sherehe tumefanya ya mil 25+ mimi kama mwanakamati nikawaza tunasafari ndefu sana mpaka kuolewa
Hili ni suala la kiuwezo tu, na maamuzi ya waoanaji. Unaweza kutoka kanisani ukawa tayari umekuwa mwili mmoja. Hizo sherehe siyo Lazima ila zingine zinakuja kwakuwa tunaishi in abundance.

Au sometime showoff.
 
Solomon,Musa na hao wengn uliowataja hawakua WAKRISTO. Misingi ya Kikristo umewekwa na Kristu mwenyewe ambao kakataza mume kua na wake wengi! Ko ukitaka WAKRISTO waoe wake wengi UnamAanisha wasiiwe WAKRISTO Tena kwa maana hawajafuata maagizo ya Kristu mwenyewe.

Kristo hakuoa kwa hiyo na wakristo waisoe,kama unaamini kristo ni Mungu,mbona hakuwaadhibu wa kina suleimani na daudi ama yakobo badala yake akawamiminia mibaraka ya kutosha,suala la kuoa mke zaidi ya mmoja sio dhambi mwenye uwezo aoe ule ulikua ni ushauri tu.
 
Umenena hakika Mkuu. Kuna mabinti watulivu sana ila kuolewa tu hawajabahatika. Wala siyo suala la uzinzi, ukahaba, ushenzi au uesharati. Makahaba wanaolewa sana mbona.

Haya mambo ni magumu kuyaelewa mara nyingine. Universe iingilie tu.

Wengi wanaongea ki mihemko tu,ration ya wanaume na wanawake ni tofauti,wanawake ni wengi kuliko wanaume sasa hizi sera za kipuuzi za mke mmoja ndio zinafanya wanawake wengi wakose waume na kusababisha ongezeko la malaya na singo maza.
 
Kristo hakuoa kwa hiyo na wakristo waisoe,kama unaamini kristo ni Mungu,mbona hakuwaadhibu wa kina suleimani na daudi ama yakobo badala yake akawamiminia mibaraka ya kutosha,suala la kuoa mke zaidi ya mmoja sio dhambi mwenye uwezo aoe ule ulikua ni ushauri tu.
'Kristo hakuoa kwahiyo na WAKRISTO wasioe' JIBU: kuoa au kutoolewa Ni MAAMUZI ya mtu binafsi Wala sio kuoa mke zaidi ya mmoja hiyo sio MAAMUZI binafsi ya mtu! Kristo hakukataza MTU asioe au asiolewe Ila alikataza MTU kuoa mke zaidi ya mmoja.
 
Wengi wanaongea ki mihemko tu,ration ya wanaume na wanawake ni tofauti,wanawake ni wengi kuliko wanaume sasa hizi sera za kipuuzi za mke mmoja ndio zinafanya wanawake wengi wakose waume na kusababisha ongezeko la malaya na singo maza.
Sahihi kiongozi. Maana Binti ametulia kabisa, anafika umri wa thelathini hakieleweki. Wala hakuna matumaini, competitors wameongezeka. Kibaya zaidi soko la mahusiano in it's nature linaprefer new comers. Binti anaona kabisa waliokuwa wanamtongoza wameoa wasichana wadogo kwake, anakosa faraja na matumaini, anaona kama ndoa amekosa Bora apate mtoto tu. Tayari anaitwa single mother. Kuolewa historia. Kwa mazingira haya huwezi kumcondem.
 
Kuna jambo pia ambalo nimeona binafsi linafanya watoto wa kike wasiolewe. Academic qualification inafanya watu wasiolewe. Ndoa kama ndoa ukiitazama haihitaji academic. Kazi ndizo zinahitaji academic qualifications. Ndoa haihitaji kabisa academic qualifications, hili pia wengi hawaliangalia Kwa mapana sana.
 
'Kristo hakuoa kwahiyo na WAKRISTO wasioe' JIBU: kuoa au kutoolewa Ni MAAMUZI ya mtu binafsi Wala sio kuoa mke zaidi ya mmoja hiyo sio MAAMUZI binafsi ya mtu! Kristo hakukataza MTU asioe au asiolewe Ila alikataza MTU kuoa mke zaidi ya mmoja.

Wapi alikataza,na tangu lini ilikatazwa?na kama ilikatazwa kwanini ambariki yakobo wana 12 kutoka kwa wanawake wa4,na tena kwaimani yako kama mkristo utapita kati ya moja ya milango 12 ya wana wa yakobo,

Narudia tena kuoa mke zaidi ya mmoja sio dhambi ni ushauri tu,ndio mana katika biblia nzima hakuna mtu aliyedhibiwa ama kukemewa kisa kaoa mke zaidi ya mmoja.
 
Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi.

Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye uwezo wa kuoa wapo wachache zaidi na sheria ni kuoa mke moja, hao wanaume wengine mnategemea watokee wapi?

Wakristo wa kiafrika walikosea sana kufuata mitazamo ya ulimwengu ya wamishonari wa Ulaya walioleta Ukristo barani Afrika na kuacha mitala na mila ambayo ilikuwa imeenea kipindi cha manabii wa kwenye Biblia. kina Esau, Musa, Daudi, Elkana, Mfalme Solomon, n.k.

Kuna sehemu hata moja Mungu alipinga ama kuchukizwa na wao kuoa zaidi ya mke moja ?

wakristo wapitie upya mafundisho ya ndoa ya mke mmoja maana hakuna mstari nabii yoyote alietumwa na Mungu kukataza jambo hili.

Ni muhimu ili "kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka kanisani bila waume"

Mitala ilizoeleka na jamii nyingi za kitamaduni za Kiafrika na tamaduni ya Kiyahudi pia ilikuwa ya wake wengi, ilianza kufifia baada ya kuanzishwa kwa Ukristo ulioegemea zaidi tamaduni za kizungu ambako waligeuza sheria zifuate zaidi tamaduni zao za kuo mke moja.
Usikariri kuwa kila mwanamke ni wa kuolewa. Hata kama wanakesha wakiomba wapate waume, wengi hawana sifa ya kuolewa. Pamoja na kuwa na maumbile ya kike inabaki kuwa sifa kuu, lakini kuna sifa na vigezo vingine vinavyopelekea maumbile ya kike yawe na maana.
 
Kuna jambo pia ambalo nimeona binafsi linafanya watoto wa kike wasiolewe. Academic qualification inafanya watu wasiolewe. Ndoa kama ndoa ukiitazama haihitaji academic. Kazi ndizo zinahitaji academic qualifications. Ndoa haihitaji kabisa academic qualifications, hili pia wengi hawaliangalia Kwa mapana sana.

Jamii imevurugwa kwa mengi ila hili la kuoa na kuoana lina mengi ndani yake,ila polygamy ni best kwa ulimwengu wa sasa.
 
Usikariri kuwa kila mwanamke ni wa kuolewa. Hata kama wanakesha wakiomba wapata waume, wengin hawana sifa ya kuelewa. Pamoja na kuwa na maumbile ya kike inabaki kuwa sifa kuu, lakini kuna sifa na vigezo vingine vinavyopelekea maimbile ya kike yawe na maana.

Ni kweli sio kila mwanamke ni mke na sio kila mwanaume ni mume,ila suala la kuoa mke mmoja tu hapa tulipotoka.
 
Wapi alikataza,na tangu lini ilikatazwa?na kama ilikatazwa kwanini ambariki yakobo wana 12 kutoka kwa wanawake wa4,na tena kwaimani yako kama mkristo utapita kati ya moja ya milango 12 ya wana wa yakobo,

Narudia tena kuoa mke zaidi ya mmoja sio dhambi ni ushauri tu,ndio mana katika biblia nzima hakuna mtu aliyedhibiwa ama kukemewa kisa kaoa mke zaidi ya mmoja.
Ukweli unaijua Ila huutaki! Ova
 
Wakristo Sio wayahudi.

1 Wakorintho 7​

Neno: Bibilia Takatifu​

Kuhusu Ndoa​

7 Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. 2 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
Ahsante kaka hata tungeruhusiwa kutoa wengi Bado mfumo unatusumbua kila Siku matangazo ya nguvu za kiume!Huyu mmoja tuu moto hautoshi!Sasa wengi huo moto tutapeleka na Robot!
 
Ni kweli sio kila mwanamke ni mke na sio kila mwanaume ni mume,ila suala la kuoa mke mmoja tu hapa tulipotoka.
Bado watu wana uhuru wa kuchagua. Ni swala la wao kuamua. Hivyo mtu akiona itamfaa, anaweza akawa nao idadi aitakayo yeye, maadam kuwe na makubaliano. Au mtu afanye tangu mapema kutafuta aina ya wanawake ambao wapo tayari kuolewa wengi kama ilivyo kwa yule Mwanatiba Mbadala aitwaye Mwaka.
 
Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi.

Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye uwezo wa kuoa wapo wachache zaidi na sheria ni kuoa mke moja, hao wanaume wengine mnategemea watokee wapi?

Wakristo wa kiafrika walikosea sana kufuata mitazamo ya ulimwengu ya wamishonari wa Ulaya walioleta Ukristo barani Afrika na kuacha mitala na mila ambayo ilikuwa imeenea kipindi cha manabii wa kwenye Biblia. kina Esau, Musa, Daudi, Elkana, Mfalme Solomon, n.k.

Kuna sehemu hata moja Mungu alipinga ama kuchukizwa na wao kuoa zaidi ya mke moja ?

wakristo wapitie upya mafundisho ya ndoa ya mke mmoja maana hakuna mstari nabii yoyote alietumwa na Mungu kukataza jambo hili.

Ni muhimu ili "kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka kanisani bila waume"

Mitala ilizoeleka na jamii nyingi za kitamaduni za Kiafrika na tamaduni ya Kiyahudi pia ilikuwa ya wake wengi, ilianza kufifia baada ya kuanzishwa kwa Ukristo ulioegemea zaidi tamaduni za kizungu ambako waligeuza sheria zifuate zaidi tamaduni zao za kuo mke moja.
alaa! Kwa hiyo hao wanawake wakiristo huwa wanakwenda makanisani ili wapate waume na sio kuwa wanakwenda kufanya ibada?
 
Naunga mkono hoja ila muwatendee uhadilifu hao wake wanne

Ukipeleka nyama, peleka nyama kilo Sawa kote, ukipiga bao tatu kwa mke mmoja na upige bao tatu kwa wake wengine
 
Back
Top Bottom