Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Bado mapema sana. Umri wa makamo ukiupita bado unainjoi ndoa yako na mkeo hapo sasa njoo na uzi utoe ushuhuda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaoa juzi huyu dogo hajajua fitina za binadamu ambaye hajaumbwa kwa udongo,tofauti kubwa ya mwanamke na mwanamume Ni kuwa wao wameumbwa kwa nyama na wewe kwa vumbi
[emoji23][emoji23]Na mtaachana tu, watu hatuna wapenzi halafu unakuja kutudolishia
Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana.
Usikatae ndoa, kataa wahuni wanaotaka ndoa. Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na wakike wapate waume wenye sifa kama zangu. Nikiambiwa nioe tena nitamuoa huyu bint bila kufikiria mara mbili.
Mpaka leo bado nainjoy everything of her.
My dedication to her is "perfect" by Ed sheeran.
Hii Ina miezi michache sanaNdoa yako Ina umri gani?
Hizi story ulizitoa wapi?
DuhI wish I had a wife who's a replica to that of your's.I would probably enjoy my life to the fullest.
omba Mungu upate ubavu wako, kuna raha yake kua na mume/mke tena mkapenda kweli kweliMwenzenu niko single naenjoy jamani kua single raha.
Humu watu wengi tumeumizwa sana hivyo hatuamini tena kama kuna watu wanaweza kupendana na kukaa pamoja muda mrefu. Mimi bado naamini watu wazuri wapo shida ni kuwapata hao watu sahihi ila mapenzi ya kweli yapo.Nmejaribu kupitia comments, 98% its either wanamuimbea mabaya au wanahisi sio kweli.
Kwani jamani, hiki jamaa anachosema hakiwezekani? Why are we negative? Au ndo ile samaki mmoja akioza then wote wameoza?
View attachment 2468515
1. Pole sana for that. No one should go thru that.Humu watu wengi tumeumizwa sana hivyo hatuamini tena kama kuna watu wanaweza kupendana na kukaa pamoja muda mrefu. Mimi bado naamini watu wazuri wapo shida ni kuwapata hao watu sahihi ila mapenzi ya kweli yapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote hayo uliyo orodhesha ni sababu zinazopelekea wengi wetu kujaa sumu kuhusu love relationship, vile wanadamu hatuna uwezo wa kuona ya mbeleni ama kumjua mtu kiundani mpaka siku mabalaa yatukute. Mapenzi ya kweli naamini bado yapo shida ni kukutana na watu sahihi.1. Pole sana for that. No one should go thru that.
2. Help me something kutoka kwenye mtazamo wako, je Kwanin kama watu tuwe na hizo perception, je ni kwa sababu we never healed enough from the pain of heartbreaks?
Je, is it because we didnt knw how to deal with heartbreaks apart from kuzikusanya mioyoni mwetu?
Au n kwa sababu hatujatoa room ya ku experience upendo upya, so tunaendelea kuishi na mitazamo yetu tuliotoa kwenye maumivu?
Kujiombea matatizoomba Mungu upate ubavu wako, kuna raha yake kua na mume/mke tena mkapenda kweli kweli
Hongera sana brother, ila siku akikupiga na Bomu la Hiroshima Dunia yako itageuka juu chini.Me and her we were made for eachother, we laugh at the same joke, she is gorgeous, smart and more importantly, ananiheshimu sana, mwaka wa sita huu lakini kama vile tumekutana jana.
Usikatae ndoa, kataa wahuni wanaotaka ndoa. Na wish watoto wangu wa kiume wapate wake wenye sifa za mama yao, na wakike wapate waume wenye sifa kama zangu. Nikiambiwa nioe tena nitamuoa huyu bint bila kufikiria mara mbili.
Mpaka leo bado nainjoy everything of her.
My dedication to her is "perfect" by Ed sheeran.
Ukiishi kwenye dhana ya uvumilivu na kukubaliana na maumivu utaishi better than dhana ya kuwaza kupata mtu mzuri na mwenye mapenzi ya kweliHumu watu wengi tumeumizwa sana hivyo hatuamini tena kama kuna watu wanaweza kupendana na kukaa pamoja muda mrefu. Mimi bado naamini watu wazuri wapo shida ni kuwapata hao watu sahihi ila mapenzi ya kweli yapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu huu mwaka tujaribu kutafuta mapenzi ya kweli humu 😁Humu watu wengi tumeumizwa sana hivyo hatuamini tena kama kuna watu wanaweza kupendana na kukaa pamoja muda mrefu. Mimi bado naamini watu wazuri wapo shida ni kuwapata hao watu sahihi ila mapenzi ya kweli yapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
me and her we were yaani mimi na yeye tulitengezwa badala ya my wife and I were......