n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Kuna wanawake wana maturity ya hali ya juu, na wakiwa wacha Mungu ndio nyumba inakuwa kama eden vile.Upendo ndio unashinda kiukweli.
Kuna washikaji wanamaisha ya kawaida na Wakati mwingine wanapitia Economic Crisis lakini Wanawake zao haohao ndio wanazidisha mapenzi
On point mkuuWewe lete nyumbani unachoweza kupata. Wewe mwanaume. Usihangaike na hilo kitu yake wala nini. Mtoto ni wako tu hata akiondoka naye. Usimfukuze kwani ukiacha kuhitaji unyumba kwake ataelewa umuhimu wake kwako haupo. Atajitoa mwnyewe. Ila ni mchakato mrefu na uwe mwangalifu maana unaishi na nyoka ndani ya nyumba. Jitahidi ujenge nyumba nyingine kwa siri.
Tatizo la akili mkuuMTU kama hakutaki Kwa nini umng'ang'anie?
Ukiona huyo mwanaume ana lalamika kanyimwa unyumba huyo mwanaume atakuwa na mwanamke mmoja lakini kama mwanaume ana wanawake zaidi ya wawili hawezi kukosa unyumba.Acheni kuwatisha watu wasioe jamani...vumilia changamoto mbona ndogo hizo? Kaeni myajenge..
Halafu wanaume siku hizi mna malalamiko ya kunyimwa unyumba sana kwanini??
Waulize wanao wanyima wenzao huo unyumba unamnyima ili iweje waulizeAcheni kuwatisha watu wasioe jamani...vumilia changamoto mbona ndogo hizo? Kaeni myajenge..
Halafu wanaume siku hizi mna malalamiko ya kunyimwa unyumba sana kwanini??
Mhh sidhani sema unyumba wa mke ni wa mke tuu hata ukiwa nao 10 huko nje..mke akikunyima lazima udate..Ukiona huyo mwanaume ana lalamika kanyimwa unyumba huyo mwanaume atakuwa na mwanamke mmoja lakini kama mwanaume ana wanawake zaidi ya wawili hawezi kukosa unyumba.
Huko sio kuvumilia changamoto ni kuvumilia ujinga na upumbavu.Acheni kuwatisha watu wasioe jamani...vumilia changamoto mbona ndogo hizo? Kaeni myajenge..
Halafu wanaume siku hizi mna malalamiko ya kunyimwa unyumba sana kwanini??
we utakuw mwanafamilia wa nyetoKataa Ndoa
Acha ujinga. Kitu kinakuharibia afya ya akili yako ni adui. Mkatae adui. Mtoto akishafika miaka 7 anaruhusiwa kuchagua anapotaka.Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.
Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.
Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.
Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Hali ni mbaya, wanawake Wengi hamtaki kutoa papuchi kwa waume zenu shida nini, watu wazima tena wazee, wanalalamika unaweza kuta mwaka mzima mke hatoi papuchi, mke akiulizwa anajibu Mume kuwa, kila saa anawaza ngono au mume anapewa masharti ya kupewa papuchi, lazima anunue hiki ndio apewe nyapu KalpanaAcheni kuwatisha watu wasioe jamani...vumilia changamoto mbona ndogo hizo? Kaeni myajenge..
Halafu wanaume siku hizi mna malalamiko ya kunyimwa unyumba sana kwanini??
Acha kuwa na mawazo mabaya kiasi hicho mkuu mtangulize Mungu kwenye kila changamoto unayoipitiaNi kweli kunasiku nafsi ilijawa mabaya hasira mpaka nikawaza nife pamoja na mwanangu ili abaki huru lakini maombi nilikuwa nayafuatilia upendo tv yalinisaidia sana
Sahihi kabisaNi bora kuendelea kuishi mbali nae hata kama atamchukua mtoto anajua, mwanae alipo na anaweza kwenda kumhudumia kwa apatacho kuliko kufa kabisa na kumuacha huyo
Usiseme japo ni wa kike ...kitanda hakizai haramu mkuu hakuna mtu anaitwa japoMkuu kwa ninavyojua famili yao mtoto wangu atapata tabu sana ndiyo maana nikaomba kujua je ninaweza kwenda kisheria nikapewa mwanangu japo niwakikee???
na wanaume tujituinii kupunguzaa kupendaaa ngonoo huwa inasaidia sanaaa ukiwa na mwanamke wew kila siku unampandisha sketii unaweka dyudyu jua haumkomoi ila unajitengenezea mazingira ya kuwa mtumwaa wa ngono na mwanamke akitaka lake anatumia uchi kama fimbo na trust me mwanaume ukizoea kuwekaa aiseee kukaa week hujawekaa unaweza hisi kufa.Hali ni mbaya, wanawake Wengi hamtaki kutoa papuchi kwa waume zenu shida nini, watu wazima tena wazee, wanalalamika unaweza kuta mwaka mzima mke hatoi papuchi, mke akiulizwa anajibu Mume kuwa, kila saa anawaza ngono au mume anapewa masharti ya kupewa papuchi, lazima anunue hiki ndio apewe nyapu Kalpana