Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Mkeo angekuwa hafanyi kazi ungefanyaje?.. kwenye kunyimwa unyumba lazima Kuna chanzo,,inawezekana unamlazimisha ahudumie familia ..kuitwa mwanaume SI Lele mama bro.wanaume hatuvunji ndoa kizembe hivyo..
Thank you....
 
Aloooh.
 
Mpe taraka utamua bure ufungwe au ujiue mwenyewe, Tuliza akili Beba chombo kingine
 
Kwenye list yangu ya wanaJF bora wa mwaka 2022 kwa nyuzi kali niliondoa jina lako kwasababu kuna post zako zilikuwa kama unanipa makavu LIVE. We taikoni sio mtu mzuri πŸ˜„πŸ˜„
 
Mnisamehr ila wanaume wengi wa kichaga ni mazezeta kwenye mapenzi,, mko soft mno na mapenzi hamuyajui,, wanawake wanawapenda kwasababu ya uwezo wa kutafuta ila ule udume hamna mfano ni wewe mwenyewe ndo maana unajiliza hapa
Njoo ujarbu ili uelewe kinachosemwa
 
Wale jamaa wa KATAA NDOA wana hoja za maana. Huwa nafikiria huu uhuru wangu nilio nao kwa sasa nije niupoteze kisa papuchi huwa napatwa na hasira balaa. Pia nikifikiria ile siku ya harusi wakubwa wanatoa nasaha zao na kuniambia ndoa ni uvumilivu huwa nakasirika zaidi.
 
Njoo ujarbu ili uelewe kinachosemwa
Kwa kamasi hizi zinazokutoka una kipi sasa cha kuvutia mwanamke na wewe hebu usinichekeshe, wanawake huwa hatuhangaiki na mwanaume anaelizwa na mwanamke maana tunajua ni boya flani hivi, fatilia utagundua wanawake tunamkimbilia sana mwanaume anaeliza wanawake sio anaelilia wanawake km wewe
 
Hatujafunzwa kuvumilia shidaa na maudhi ya wanawake ndo maana... wazee walikuwa wanakaza kidogoo sema hata kina mama hawakua na mdomoo mchafu na maudhi kama nyiee ndo tatizooo
 

Sikia ushauri wangu, usivunje ndoa kama sababu ni hiyo tu, ukipata mwanamke anayekusaidi kifedha shukuru, ukikosa pambana.

Kutopata unyumba ni frustration tu, na tena inaweza kuwa inferiority complex yako.
 
Ujui familiy ya mtu na yanyojiri kwaiyo be silent
 
πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† hamna bana Balqior
Hao ni watoto sio matured
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…