Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

Malaya ndio hapendi mwanaume bila posho 😀😀😀 ila mwanamke anaejielewa anajua shida ni mambo ya kupita tu
Ushawaza ukifa mwanao atabaki na nani acha woga fanya maamuzi mapema Kingine acheni waminisga wake zenu mnapesa hapo ndio tatizo uhanzia uyu mwanamke alikupendea pesa inaonekana awali ulikuwa unatoa sana pesa kwake so mda huu anaina unamzingua maana hisia zake kwako ni pesa tu ingawa ndio ukweli mwanamke hampendi mtu kama Hana pesa
 
Si tulikubaliana ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye kaili tu!!

Mkuu kama ulikosea komaa na hilo chaguo lako umnyooshe hadi kieleweke. Usikimbie matatizo uliojisababishia.
🤣 Ila we mtoto ni fala sana, kwahio asikimbie matatizo yake apambane nayo 🤣 hii ni statement ya nguvu sana leo.
 
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.

Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.

Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.

Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Hivi kwanini wanaume wapumbavu hampungui?. Unashindwa kuacha huyo Shetani unayemuita mkeo Kisa mtoto?
Nakushauri jinyonge tu hili upunguze idadi ya wanaume wapumbavu.
 
Tatizo vijana tunatongoza wanawake tukiwa na maisha mazuri na wao wavutiwa na maisha mazuri na wanaamini ukishawaoa tu maisha mazuri yataendelea kuwepo kipindi chote, sasa wakiona mambo yamebadilika tu na wao wanabadilika, Yani vijana tushtuke ukiwa na mpenzi wa kike hajawai kukupa ata kitu chochote huyo siyo wa kuoa ukijaribu kuoa tu siku ukiyumba kiuchumi ndiyo utajua rangi yake na makucha yake.
Mi nikiwashauri wadogo zangu hakikisha mke unayemuoa anaweza kutoa hela yake bila kulalamika akakupa ukiwa na shida bila kuwekelea hesabu. Maana kuna wengine anakuhesabia ati nilikupa kiasi flani urudishe.

Nawewe utakuwa unampa zako wakati unazo ili afurahie mnaishi namna hio. Hakika utakuwa umejipatia life partner ikiwa una mwanamke wa aina hio.

Mwanamke mchungu atakuwa shubiri siku hata umelazwa kitandani na bill anakuletea hapo hapo kitandani bila aibu. Atakufedheesha mno.
 
Mtoto bado ni mdogo... ana haki ya kuishi na Mama mpaka atakapoamua au kufikisha umri wa yeye kufanya maamuzi.

swala la ndoa au mapenzi halishauriwi. Unaweza kushauri kesho na keshokutwa watu wako pamoja. Utajiona mjinga na mpumbavu wewe uliopambania kutoa ushauri na kuingilia kati.

Akili kichwani mwako.
 
Shida na raha.
Raha mtakula wote shida utakula pekee yako, ukilielewa hili wanawake hawatokuumiza kichwa
 
Pole ,andaa future ya mwanao na wajukuu zako .Kujiua ni udhaifu wa kiwango kikubwa sana .
Alafu peaneni muda kidogo,tafuta hata tenda itakayokuweka mbali na familia kwa mwezi mzima alaf utarudi .kikubwa ndoto na maono yako yatimie .Acha kuishi kwa kutiatia huruma
Akirudi mke ana mimba ya bahasha mwengine
 
Mtoto sio hoja ya kushindwa kuvunja ndoa

Kama huna courage ya ku take tough decisions.Shida ni wewe

Kuna watoto ni yatima from day 1
Kuna watoto wana trauma related issues sababu ya kuwaona wazazi wao wanavyoishi..

Yaani mtoto sio kigezo kabisaaa ni mwavuli tu wakujifichia..unatakaje sasa urundike chuki mwisho wa siku umchome na gunia mbili za mkaa??huo ndo utaita uwanaume au??

Mda sasa wanaume tujifunze ubinafsi kidogo,Kama mchango wako kama baba hauthaminiki na wewe Moyo wako bila kushurutishwa na mtu unaona unateseka na hamna namna ya kusuluhisha.As a Man ,you should have balls to move on with ur life & take care of ur children, Simple..na sio kusingizia mtoto..

I agree to disagree.Mwache aende mwanamke sio property kwamba ni lazima ummiliki hadi unakufa ..
Umeongea ukweli kabisa
 
Nimeishi na mwanamke miaka 10 tunamtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo.

Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu ndiyo mambo yamekuwa kuwa mambo baada ya project nyingi kusimama kwaiyo kipato changu kimeshuka japo najitahidi kuhudumia familiya kwa vyovyote.

Sasa imefika hatua hata unyumba nanyimwa inaniuma kila nikitaka kumwacha nikimwangalia mwanangu machozi yanatoka tu.

Vp kuhusu kumchukua mwanangu anamiaka 10 wakike je nikienda kisheria naweza kabidhiwa mwanangu??MSAADA WAKI MAWAZO WANA JAMII.
Tukushauri hadi kuwa na nyumba ndogo au?
 
Hivi kwanini wanaume wapumbavu hampungui?. Unashindwa kuacha huyo Shetani unayemuita mkeo Kisa mtoto?
Nakushauri jinyonge tu hili upunguze idadi ya wanaume wapumbavu.
Ila upumbavu wangu hauzidi wa kwako[emoji57]
 
Pumba tu[emoji38] hakuna mwanaume mwenye mamlaka then akawa lofa kwa mkewe hayupooooooo. Azawais ubadilishe statement yako.
Hivi unaelewa maana ya mamlaka kwanza?[emoji848]
Mamlaka ni mtonyo, hivi unaweza kukoroma na huna hata buku mfukoni🤣???
 
Nimetoa tahadhari ili mchukue hatua siko hapa kushindana na mtu, heshima ya mwanaume inakanyagwa vilivyo huku mtaani,
Hii inakwenda sambamba na thamani ya mwanamke kushuka mara milioni mia zaidi ya heshima ya mwanaume.
 
Back
Top Bottom