ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kwanini inaonekana mwanamke ana kibri wakati jamaa hajafunguka ili tujue uzito wa kosa?3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.
4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.
Inategemea na uliongea nini na huyo co-worker wake..Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Weka wazi Umefanya KOSA gani iwe rahisi kushauliwa kuficha jambo ni mbaya sanaaWadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini — nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Umemwambia maneno gani mboni hujayaweka weka hayo manenoNaombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Mke anaepotea bila taarifa asiminiwe story yake 😂Hii story tumeipata upande mmoja. Ngoja na mkewe apost tutaangalia nani mkosefu
Ameweka, reply #25Umemwambia maneno gani mboni hujayaweka weka hayo maneno
Ameweka kaka. Cheki reply #25Weka wazi Umefanya KOSA gani iwe rahisi kushauliwa kuficha jambo ni mbaya sanaa
NB. Mimi ni mkimya sana sio mwongeaji kabisa...wife ananipenda sana sana.
Ndoa yangu imeingia kidudu mtu..nime chepuka akajua now ni WW3 pia issue ya pombe hataki ninywe japo nakunywa responsible tena jioni baada ya kazi.
Now wife ameacha kuniamini hope Huwa najiambiaga MAMBO MENGI NI JAMBO LA MUDA
KILA KITU KITAKAA SAWA WITH TIME.
Cheki #25 amewekaUmemdhalilisha vipi?...Isije ikawa si udhalilishaji Bali ni hisia zake Tu ndo zimemtuma!, halafu mbona kama unalia Sana mkuu, wanaume halisi hatuko hivyo maana utaendeshwa Sana Mzee!
Kikao cha WANAUME TUMEAMUA HAKUNA USHAURI MWINGINE KWA MLETA MADA ZAIDI YA HUU.1. Kosa namba moja ni kwenu wote wawili kusababisha mambo yenu ya ndani yatoke nje ya chumba, hii imenifanya niamini kwamba ndo yenu inaishi zaidi kama cinema na kujikweza nje ya ninyi wawili.
2. Jambo la pili kama mwanaume ukisha muomba mkeo msamaha ndani hakuna sababu ya kuionyesha jamii kwamba ikuombee msamaha, sababu naona nikama hiyo ndoa inasaidiwa zaidi kuwepo na watu wa nje na sio kwa mapenzi yenu.
3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.
4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.
Ebu fanya mambo mengine kama mke hataki kukisikiliza wewe basi kausha na endelea na maisha.
Kuna mawili.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Kaka maneno yalUmemwambia maneno gani mboni hujayaweka weka hayo maneno
Nashukkru sana Kwa ushauri mzuri umeeleza vizuri 🙏🙏Kwanza nakupongeza kwa kutaka ndoa yako isivunjike.
1. Usiwatumie watu wasio na staha kwenda kwake kukuombea msamaha, maana hujui ni wanafiki kiasi gani au huwa wanaenda kuongea nn kwake.
2. Usiwatume mashoga zake au wanaojiita Viongozi wa dini, labda wawe viongozi wa kiroho.
3. kabla haujaanza kumtafuta au kuongea naye piga magoti chini muombe MUNGU wako kwa imani yako, ili kabla haujamfikia kuongea naye kimwili basi MUNGU wako awe ameongea naye kiroho
-huwezi kuulanisha moyo wa mtu kirahisi bila MUNGU kuingilia kati..
4. huyo yupo katika panic mode ya hali ya juu. tafuta wazazi wako, wazazi wake(wakwe zako), eleza kila kitu, omba msamaha.
-hao ndo binadamu pekee wanaweza kuwa na uchungu na ndoa yako.
5. achana na mawazo yanayolenga kuvuruga ndoa yako.
NB: TAFUTA HELA BROO.
KAMA HUYO NI MKEO, NI KOSA KUBWA KUMUACHA, KAMA NI MCHEPUKO MAAMZI YOTE YAPO MKONMI MWAKO.
lakin, tafuta hela kaka!
Ndio maan nmekuja kwenuWazoefu wanasema
1.Siku zote usimuombe msamaha mkeo.
Hata kama kakushika mchana kweupe.
Wewe umefanya kosa sawa, ila umekuza kosa kwa kumuomba msamaha tena umedai kwa unyenyekevu. Hapo tayari umeshusha hadhi yako ya uanaume.
2. Hutakiwi kuishi na mwanamke kama partner wako au mpenzi wako. Yaani usiruhusu mazingira mwanamke akaona mko sawa. Ili ni kosa kubwa.
Ishi na mkeo kama mwanao.
Wew tulia endelea na ishu zako.Ndio maan nmekuja kwenu
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Sema tu ukweli, sio kwamba unampenda wala nini, ila unaogopa tu talaka itasabisha achukue sehemu ya ukwasi wako, thats all..Wadau naombeni ushauri wenu.