chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,500
Shtuka mzee!.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Ameshakusamehe.Wadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini โ nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Umezungumza kweli kaka tajitahdiPOLE SANA KIONGOZI
Hii inaonekana ni Long distance relationship ambayo unatakiwa uwe makini sana na usipanic.
Kwa maelezo yako, Inaonekana kuna kitu huja andika hapa tukaelewa, pengine ulivyo muita malaya ILA
Wanawake walio olewa wakiwa makazini huwa wanajiproud sana na wanaume zao; hivyo ukiharibu kazini kwake ujue unamuharibia sana CV, ndio sababu amekasirika hivyo ILA sio rahisi kukuacha ILA anataka kukukomesha usirudie tena hiyo njia uliyoitumia.
Inaonekana na wewe uli muhukumu bila kumsikiliza sasa wewe unataka akusikilize?
Nikuulize; Uliweza kujua kwa nini alisafiri kwenda mahala hapatikani bila kukuambia?
Pengine alisahau simu yenye namba zako, simu ilipotea, iliisha charge? hapakuwa na mtandao?, aliona akimbie chap na kurudi mambo ikabadilika, simu ikaisha charge nk nk nk
USIWE MWEPESI WA KUHUKUMU KABLA YA KUMSIKILIZA MTU!
Mkuu ungelitandaza ulichomkosea ili tuingie mzigoni kushauri.Wadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini โ nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Huu mkasa umeuanza ghafla bin vuu,hujatupa maelezo ya kutosha hivyo inakuwa vigumu kukushari.Hata hivyo,migogoro kwenye ndoa ipo tu na haiepukiki na siyo kitu cha ajabu.Sasa zingatia yafuatayo:Wadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini โ nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Jambo la kwanza kaka ni yeye kusafiri bila kunipa taarifa siku tatu maelezo yake ni kuwa mgonjwa na simu iliharibika according to hereMkuu ungelitandaza ulichomkosea ili tuingie mzigoni kushauri.
Kila kosa lina angle zake namna ya kushauri.
Mfano ushauri kuhusu uzinzi hauwezi kulingana na ushauri uhusuo ubadhirifu wa mali nk nk.
Weka kosa lako hapa.
Kama kosa ndilo hilo, jaribu ku relax kwanza ili kutoa muda wa jaziba zake kudecrease.Jambo la kwanza kaka ni yeye kusafiri bila kunipa taarifa siku tatu maelezo yake ni kuwa mgonjwa na simu iliharibika according to here
Kosa langu mim kuongea na wafanyakazi wenzake baada ya yeye kutompata hewani hizo siku
Na katk maongezi yetu na hyo yalikuwa ya kawaida tu mosi aliniuliza kwann huna taarifa bee yake je una mda gani nikajibu four years kingne akaniambia inabdi uwe makini ni hvo na namna ya kuishi na kusolve lakin kipengele kimekua nna mkee nmetamka maneno magumu Kwa wafanyakazi wenzake ubaya hakunipa nafasi zaidi ya suluhisho kuniblock pasina kuskia upande mwingne
Hao wafanyakazi wenzie walikuwa nae au uliwapigia kwa ajili ya kumtafuta tu?..Jambo la kwanza kaka ni yeye kusafiri bila kunipa taarifa siku tatu maelezo yake ni kuwa mgonjwa na simu iliharibika according to here
Kosa langu mim kuongea na wafanyakazi wenzake baada ya yeye kutompata hewani hizo siku
Na katk maongezi yetu na hyo yalikuwa ya kawaida tu mosi aliniuliza kwann huna taarifa bee yake je una mda gani nikajibu four years kingne akaniambia inabdi uwe makini ni hvo na namna ya kuishi na kusolve lakin kipengele kimekua nna mkee nmetamka maneno magumu Kwa wafanyakazi wenzake ubaya hakunipa nafasi zaidi ya suluhisho kuniblock pasina kuskia upande mwingne
Katombewa mke,mke kasafiri bila taarifa na kwenye simu hapatikani siku 3 mfululizo,jamaa anamuomba mkewe msamaha ila mke amekaza.Umezunguruka tu, swali UMEFANYA NINI?
Ngoja nisome kakaAmeweka kaka. Cheki reply #25
Sijaelewa kama Kuna kitu unaficha elezea nini chanzo cha huu ugomvi wenu.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Asiwe dhaifu kwa mwanamke msalitii.Katombewa mke,mke kasafiri bila taarifa na kwenye simu hapatikani siku 3 mfululizo,jamaa anamuomba mkewe msamaha ila mke amekaza.
Najua utachanganyikiwa ila story ndio hiyo,me mwenyewe story siielewi
We jamaa ๐โบ๏ธUmezunguruka tu, swali UMEFANYA NINI?