makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Sasa kama anaficha chanzo cha tatizo, suluhu inapatikana vipi?Asiwe dhaifu kwa mwanamke msalitii.
Kwanza kama jamaa...hajamfanyia baya mkewe..aseme isije kua mkewe kafanya revenge.
All in all, jamaa Kuna kitu anatuficha aseme ukweli tutajua pa kuanzia
Jamaa ana hisi mkewe atakuwa humu.Sasa kama anaficha chanzo cha tatizo, suluhu inapatikana vipi?
Kama hataki kusema, hawezi kusaidika.Jamaa ana hisi mkewe atakuwa humu.
Sema hataki kuweka RULA Ange nyoosha maelezoo ni rahisi kusaidika
Watu wa aina hii hawakawii kusikika wamejinyonga au wamechoma kisu mkewe au kumuua mke wake sababu wanaona wakieleza vinavyo wasibu ni udhaifu.Kama hataki kusema, hawezi kusaidika.
Mngeshanya hvo kabla sijaandika hapa kufika hapa maana yake hcho hakiwezi kutokea katu hapa ni kupata mawaidha Kwa jeiefuWatu wa aina hii hawakawii kusikika wamejinyonga au wamechoma kisu mkewe au kumuua mke wake sababu wanaona wakieleza vinavyo wasibu ni udhaifu.
5.Aombe likizo aende akajipumzishe mbali na hapo alipo.Apunguze muda wa kushinda shinda home na mawasiliano meeengi.1. Kosa namba moja ni kwenu wote wawili kusababisha mambo yenu ya ndani yatoke nje ya chumba, hii imenifanya niamini kwamba ndo yenu inaishi zaidi kama cinema na kujikweza nje ya ninyi wawili.
2. Jambo la pili kama mwanaume ukisha muomba mkeo msamaha ndani hakuna sababu ya kuionyesha jamii kwamba ikuombee msamaha, sababu naona nikama hiyo ndoa inasaidiwa zaidi kuwepo na watu wa nje na sio kwa mapenzi yenu.
3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.
4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.
Ebu fanya mambo mengine kama mke hataki kukisikiliza wewe basi kausha na endelea na maisha.
Usimjaze ujinga ,mwanaume upaswi kuendeshwa na hisia bali kila jambo tumia ubongo,akifata ushauri wako atazidi kujidhalilisha na kujiumiza kiakili na kihisiaKipindi hatari sana kwako iko mkuu
Akiwa kwenye hali hiyo akitokea mjinga akirusha ndoani tu inanasa na anamvua kiuraini na anaenda kumla , so jitahidi na ulazimishe kuwa karibu naye kama unampenda
Yaani hapo mtu akimjaribu tu kumtokea nayeye anatoka beki hazikabi wajinga wanapiga magoli kiuwepesi sana
Mpaka akirudi kwako jamaa anakuwa anajipigia kisela kila anapo muhitaji
Muache aendelee kukaa nalo moyoni, limmalize,Watu wa aina hii hawakawii kusikika wamejinyonga au wamechoma kisu mkewe au kumuua mke wake sababu wanaona wakieleza vinavyo wasibu ni udhaifu.
Kifupi mwanamke wako, amekudharau, anakuona anakumudu... piga chini, la sivyo hapo utakuja ishiaNdugu zangu nmejaribu kuwaweka wazi ni wapi hapajaeleweka vema viongozi mmi nipo hapa kupata uafadhali kaka.
Kwa maelezo yangu mwanamke alisafiri ghafla apo sku tatu simu haipo hewani nikapiga simu Kwa mfanayakazi ambaye ndye kama bosi after kuongea nae yeye kanipa taarifa alisafiri katka maongezi yetu akaniambia niendelee kuuliza Kwa ndugu kuuliza Kwa ndugu hayupo ilibdi nimrudie hewani hyo Mkuu wake ktk maongezi ikawa usalama wake kwanza mbili hisia za kuwa na mtu mwingne ktk hilo zikatawala,
Huyo Mkuu kuniuliza una miaka mingapi bnfsi niljmjibu four years after that kauliza je miaka hyo hamjabahatika kupata watoto nikamjibu Bado tukawa tumeishia hapo.
Matokeo yake nini,matokeo yake baada ya mwanamke kurudi alidai nmemzalisha mbele ya wafanyakazi wenzake Kwa kuwaambia kuwa hazai,Hana msaada wowote,na kudai ameambiwa Nina mke mwingne na la mwisho kabsa kunihusisha na uchawi kitu ambacho hakuna.
Hitimisho lake ni kuniblock mazima๐๐๐ kijana wenu nje na hapo Kila kitu kilikuwa vizuri haswa
Hii n level ipi ya upuuzi?Kama ulimdhalilisha kwenye umma wa watu, tafuta namna ya kumsafisha mbele ya umma
Asante kaka nashukkru piaKwa uzoefu wangu na utu uzima wangu katika kuhusiana na hawa viumbe wanawake nasikitika ya kwamba umeingia mzima mzima kwenye mtego muhimu kwa wanawake na umeanguka kwenye mtihani mkubwa katika maisha ya kuhusiana na wanawake!!!!
Wanawake ni mabingwa waliobobea kwenye sekta ya MANIPULATIONS za kila aina......na kabla hajakuingiza huko atakupa MITIHANI kadhaa na mitego ambayo ukiingia maana yake umeingia kwenye dunia nyingine ya manyanyaso na mateso for the rest of your life.......
Dah!!
Nina hakika kwa ninavyowajua wanawake huko alipo kwa kadri unavyoongeza kuomba msamaha yeye ndio anazidi kucheka tu kimoyo moyo au naarafiki zake......
Ningekushauri jambo lakini tayari umeshachelewa mtego umeshakuvaa na tayari umeshajimaliza kwa mkeo vya kutosha mpaka kuja kuomba USHAURI mitandaoni.......
Cha kukusaidia tu ni kwamba next Unapo deal na mwanamke weka au jiweke mbali Sana na hisia na mihemko.....na uziweke akili zako mbele kama kitambi.....hapo utamuona mwanamke katika rangi yake halisi na utagundua jinsi gani walivyo wajinga wajinga.........
Epuka Sana kupaniki unapokosana na mwanamke.....kupaniki kwako kutakuondolea umakini na ndio hatua ya kwanza ya ushindi kwa mwanamke.......
Vile vile nakuhusia mdogo wangu nenda taratibu kwenye kuutaka msamaha kwa huyo malkia wa moyo wako kwani hakuna unaweza kufanya kumbakisha mwanamke aliyeamua kuondoka!!!!!