Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Habarini nyote na Amani iwe nanyi
Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa
Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu Solomon inatupa Kinga na uhalali.
Kwa mantiki hio hakuna wa kupinga uwepo wa ndoa za wake wengi na kuwazodoa wanawake.
Wanawake sio Mazombi wana akili timu, wana hiari, wana haki na uhuru wa kuamua chochote.
Pia mwanamke ni kiumbe asiyependa upweke na Ubwela bwela wa kuzubaa ameumbiwa moyo na nafsi ya ushindani tena baina yao wanawake hivyo kuwa na ndoa ya wake wengi ndio ndoa sahihi, na ndoa za mke mmoja mmoja zina mapungufu na migogoro ya wanawake kusigana na waume zao ndoa za wake wengi huwapa nafasi wanawake kuishi uwanawake wao (feminism) inakuwa active.
Mwanamke ni kiumbe cha kushindana na kufananisha mazuri na mabaya oa wake wengi ili uishi na wake wenye utii na heshima halisi ya kike.
Narudia tena wanawake sio Mazombi, kuwa mke mwenza sio ubaya ubwabwa ni mwanaume binafsi alojisikia kupungukiwa na kuongeza mahitaji yake juu ya matumizi ya huyo ama hao wanawake wa ziada.
Pia ipogo mantiki ya wingi ni nguvu na utajiri ukiona unakerwa na wingi ujitafakari.
Kuoa mwanamke mmoja si tafsiri ya uzuri wa mwanamke huyo mmoja. Kila mwanamke huolewa kwa hitaji na kusudi yenye msingi thabiti.
Kuwa mke wa pili ama mke mwenza sio uzuzu, wala si uzombi, ijulikane ni akili kubwa ya kujielewa kuishi kusudi na furaha ya maisha, sambamba na kuishi mila desturi na Imani zetu zote.
Tuache fikra za kijima hata mitihani Ina chaguo la jibu yote hapo juu ni sahihi (a,b,c na d yote ni sahihi.
Nawasihi wanaotaka kuoa na ndoa waoe wanawake wengi na wanawake wajiamini kuwa ni wazuri ndiomana wanahitajika.
Tuendelee kuunga mkono uhuru na maamuzi binafsi haki ilindwe kwa nguvu zote.
Uhuru na Haki ni Msingi wa Akili Mtambuka.
Shukrani 🙏🙏🙏
Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi