Wife material wa STD 7 hawa wengine ni wa kupokezana kupiga bila kujuana.Bora mtu uoe form four failure, hao mabinti waliomaliza chuo ndo wanapigwaga miti balaa, na malekcha mara na walimu wenzao, mara na watu wa mitaani, mara na vigogo, mara sometimes wanajiuza huko chuoni.
hata zingekuwa 100, hana ruhusa ya kumfanyia hivyo mkewe! amemchoka mtoto wa watu amrudishe kwaooUngepiga mabanzi kama 5 hv missed call 16 ...?
yaan dingi mbavu alaf linamdunda bimkubwa hana uwezo wakupambana zaid ya kukinga tu kichwa chake wewe upo tu umekaa unaangalia badala ya kumlima mtama mshuaHao hawakuwa watoto wake halali na wanalaana
Ni muhimu sana, NDOA siyo kitu Cha maisha! mbona watu hawakuli ugali kila siku? Tunahitaji ndoa za mikataba kwenye sheria zetu. Hata Ukristo inabidi ujitafakari sanaNdoa sio kitu cha maisha. Niliwahi kuandika humu serikali ibadili sheria kuruhusu ndoa za mikataba (contract marriages).
Sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho kuruhusu ndoa za mkataba
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Kwa utafiti binafsi niliofanya hivi karibuni, ndoa nyingi hapa nchini, na katika nchi nyingine za kiafrika, huingia migogoro au kuvunjika kabisa kwa sababu ya wanawake kuwa na uhakika wa ndoa ya kudumu, hasa hizi ndoa za...www.jamiiforums.com
ni kweli ila hasira ndo zinamuendesha kuweza ku controll hasira mkuu ni watu wachache saNa wamebarikiwa hyo karama hapo baadae lazima atajuta kwa hiko kitendohata zingekuwa 100, hana ruhusa ya kumfanyia hivyo mkewe! amemchoka mtoto wa watu amrudishe kwaoo
Fala sana huyu mwanaume!.Habari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu
Tazameni video ya tukio
Kwanza demu anaonesha ana mumudu jamaa, eti anabana pua naumiiiia basi. Hahaa akutane na mme salma ***** maneno kiduchu risasi mingiHuyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
Mkuu napendekeza heading uongezee neno NA JAMII baada ya neno Ndoa.Habari wadau.
Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR
Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu
Tazameni video ya tukio
MkuuHii video imenifikirisha sana. Aibu yote hii ya nini barabarani usiku ni upendo wa jamaa tuu kwa huyo mkewe ama ni nini kwanini asingesubiri mpaka wafike nyumbani.
Haya unayosema ipo siku hata wewe yanaweza kukuta. Mcheka kovu asie fikwa na jeraha. Kabla hujafa haujaumbika, wewe bwabwaja tu.yaan dingi mbavu alaf linamdunda bimkubwa hana uwezo wakupambana zaid ya kukinga tu kichwa chake wewe upo tu umekaa unaangalia badala ya kumlima mtama mshua
Hakuna ndoa ya maisha, ninmaamuzi ya mtu binafsi. Hakuna mkataba usiovunjika. Watu wana complicate tu mambo. Ndoa zinavunjika tu vizuri hata iwe imefungwa wapi.Ni muhimu sana, NDOA siyo kitu Cha maisha! mbona watu hawakuli ugali kila siku? Tunahitaji ndoa za mikataba kwenye sheria zetu. Hata Ukristo inabidi ujitafakari sana
Dombewa ujue maumivu ya mwamba, ila kwa vile ww zenji sidhan kama hata unajua ndoaHao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu. Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.
Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu. Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.
🙏🙏🙏🙏nimekuelewa vemaUtafiti: Wanawake wa kuoa wanapatikana mtaani sio kwenye ulokole, shauri yako!
Naingia kwenye mada straight away bila kuwachosha. Mada hii inatokana na utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni. Ndugu zangu mabachela mnaotafuta wanawake wa kuoa nawaomba muwe makini sana na mchukue tahadhari ya kutosha. Wanawake safi wa kuoa hupatikana mtaani sio kwenye makanisa ya kilokole...www.jamiiforums.com
Muda mwingine ugomvi sio wa kuurukia tu linaweza kukuta jambo na huyo aliyewekwa chini akabaki anasema akome alifuata nnMkuu
Walioirekodi walipaswa kuchukua hatua za awali kuwaachanisha wasiuane.
Mijitu imesimama pembeni inapaza sauti oooh msamehe mkeo mara nini sijui. Ndo maana matendo ya kikatili yanaongezeka kwenye jamii kwa sababu hadhira inaburudika na matendo hayo
Jaman msitufanyie hivi. Tukishindwana bora kuachana.