Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Bora mtu uoe form four failure, hao mabinti waliomaliza chuo ndo wanapigwaga miti balaa, na malekcha mara na walimu wenzao, mara na watu wa mitaani, mara na vigogo, mara sometimes wanajiuza huko chuoni.
Wife material wa STD 7 hawa wengine ni wa kupokezana kupiga bila kujuana.
 
Ndoa sio kitu cha maisha. Niliwahi kuandika humu serikali ibadili sheria kuruhusu ndoa za mikataba (contract marriages).
Ni muhimu sana, NDOA siyo kitu Cha maisha! mbona watu hawakuli ugali kila siku? Tunahitaji ndoa za mikataba kwenye sheria zetu. Hata Ukristo inabidi ujitafakari sana
 
Huyo mbaba nae anatia aibu.. mnyanyasaji.. mp*mbavu, mke amuache libaki lenyewe.. akwende zake. *henzwi taipu.. kwani ndoa lazima.. aibu kwake sasa.. hata kazi afukuzwe mnyanyasaji wa wanawake.
Kwanza demu anaonesha ana mumudu jamaa, eti anabana pua naumiiiia basi. Hahaa akutane na mme salma ***** maneno kiduchu risasi mingi
 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio

Mkuu napendekeza heading uongezee neno NA JAMII baada ya neno Ndoa.

Watu wapumbavu wamesimama wanaongea kama mazuzu vile na kuchukua video. Huyo mwanaume alipaswa muda huu awe hospitali akitibu taya au mbavu zake maana kitendo alichokuwa anakifanya ni kusudio la kuua.

Wapumbavu sana waliosimama na kujifanya mashuhuda.
 
Hii video imenifikirisha sana. Aibu yote hii ya nini barabarani usiku ni upendo wa jamaa tuu kwa huyo mkewe ama ni nini kwanini asingesubiri mpaka wafike nyumbani.
Mkuu
Walioirekodi walipaswa kuchukua hatua za awali kuwaachanisha wasiuane.

Mijitu imesimama pembeni inapaza sauti oooh msamehe mkeo mara nini sijui. Ndo maana matendo ya kikatili yanaongezeka kwenye jamii kwa sababu hadhira inaburudika na matendo hayo
 
yaan dingi mbavu alaf linamdunda bimkubwa hana uwezo wakupambana zaid ya kukinga tu kichwa chake wewe upo tu umekaa unaangalia badala ya kumlima mtama mshua
Haya unayosema ipo siku hata wewe yanaweza kukuta. Mcheka kovu asie fikwa na jeraha. Kabla hujafa haujaumbika, wewe bwabwaja tu.
 
Ni muhimu sana, NDOA siyo kitu Cha maisha! mbona watu hawakuli ugali kila siku? Tunahitaji ndoa za mikataba kwenye sheria zetu. Hata Ukristo inabidi ujitafakari sana
Hakuna ndoa ya maisha, ninmaamuzi ya mtu binafsi. Hakuna mkataba usiovunjika. Watu wana complicate tu mambo. Ndoa zinavunjika tu vizuri hata iwe imefungwa wapi.
 
Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu. Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.
Dombewa ujue maumivu ya mwamba, ila kwa vile ww zenji sidhan kama hata unajua ndoa
 
Hao watu waliokuwa wanarekodi tu na kumbembeleza huyo mwanaume nao ni kama wapumbavu tu. Katika hali ya kawaida huyo mwanaume alipaswa kushambuliwa kwa fimbo na mawe, raia hawakupaswa kucheka na huyo mwanaume, ndoa sio kichaka cha kufichia ukatili.

Hutakiwi kutumia nguvu, je! Akimuuwa! Hapo unaenda nae kwa akili tu kisha unaita polisi wawachukue wote.
 
Wanaume wengi uwapige
Mizinga Halafu utake kuwazingua hawakubali.

Wanaume wengine Hela zao wanazipata kwa tabu sana Halafu mwanamke unakuwa na tamaa ya pesa Halafu hutaki kufanya snavyotaka Mwanaume?! Lazima akunyooshe [emoji14][emoji14]
 
Mkuu
Walioirekodi walipaswa kuchukua hatua za awali kuwaachanisha wasiuane.

Mijitu imesimama pembeni inapaza sauti oooh msamehe mkeo mara nini sijui. Ndo maana matendo ya kikatili yanaongezeka kwenye jamii kwa sababu hadhira inaburudika na matendo hayo
Muda mwingine ugomvi sio wa kuurukia tu linaweza kukuta jambo na huyo aliyewekwa chini akabaki anasema akome alifuata nn
 
Jaman msitufanyie hivi. Tukishindwana bora kuachana.

Sasa kuachana hivi hivi ikiwa Mwanaume amekugaramia vitu vingi vya thamani hawezi kukubali umcheke ujinga,

Somo hapa ni wanawake waache tamaa na kujiona wajanja kupenda kuhongwa na kutaka mali za wanaume Halafu hamtaki kuwa watumwa wa hao wanaume.

Hutaki kutawaliwa na Mwanaume usile Hela żake wala mało zake ,

Tafuta kazi jipatie kipato chako uwe huru.

Mwanamke uingie kwenye uhusiano wa penzi sio sababu ya njaa bali usukumwe na penzi kisiło na masharti kama kutaka fedha.
 
Back
Top Bottom