Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Ndoa zimekuwaje? Kuna Video inatrend leo Mume akimkaba mkewe na kutaka kumuua live barabarani

Relief ipi zaidi ya kujidhalilisha [emoji16][emoji16]

Yani anayofanyiwa ndani ni siri yake huyo jamaa, so hapo anajaribu kuonyesha kuwa huyo mkewe ni mbaya kwa watu wanaopita njia!!! Hivi ushawai kufanyiwa dharau na mke alafu huna chakumfanya??

Na kusimulia pia huwezi unabaki unaugulia maumivi!!! Na iyo mara nyingi unakuta unampenda mkeo na unaangalia watoto unaona bila mama yao itakuwaje ndo unajikuta unafikia hapo alipo jamaa......

Lakini ukiangalia kwa makini uyo jamaa anampenda mke wake, sisi wanaume tukichoka hatuna muda na mwanamke zaidi zaidi utafukuza........

Sasa hapo jamaa ataombwa msamaha na kwasababu anampenda atasemehe maana ndo kitu anataka kutoka kwa mke wake!!!! Ila ndo kama mama aliuza mechi haifutiki watabadili mbinu na uyo mjamaa anaemkula
 
Tanzania ni jamii moja haijalishi mkristo au muislamu ,athari kama hizo ni kwa wote ...linapokuja suala la maadili ni mtihani kwa malezi yetu hasw watoto wanakuwa pamoja huko shule wanakuwa pamoja wa dini zote hata makabila yote.

Sasa hivi tabia zinafanana karibia mikoa yote hamna kipya sio kama zamani ,watu wa jamii fulani nao wanapoteza sifa zao za asili kutokana na mchanganyiko..


Hili ni suala la kitaifa ,tukae tufanye overhaul ya malezi yetu hali sio nzuri huko mbele..
Nila kidunia.
 
Habari wadau.

Video inatrend ya kaka mwenye gari aina ya IST namba T 290 CBR

Ambaye alisimamisha gari yake na kuanza kumkaba mkewe nusu kumuua huku akiongea maneno makali kwamba mkewe sio muaminifu

Tazameni video ya tukio

Hawa wapumbavu wanapata wapi muda wa kuchukua video na kumbembeleza huyo?
Huyo jamaa ni boya sana, mpaka unafikia hatua ya kugalagazana barabarani maana yake jamaa ni boya na dhaifu.
Hawakupaswa kufikia hatua hiyo. Ilipaswa awe ameshamuacha kitambo, siyo kupigana hadharani
 
Si alijua kati kati ya barabara watatokea watu wawaamue..aliona akifika nae home anaweza akamuua..
Kwanza hata huko home wasingeweza fika kwa hasira hizo wangeweza hata kupata ajal
Yaani uue sababu ya mahusiano, huo ni ugonjwa wa akili. Kama unaona mmeshidwana muache aende zake. Haisaidii kupigana na kudhalilisha utu wako barabarani.
 
Haya mambo yoye ni kutokana na wanaume kuwa wajinga na kujiainisha kuwa mbususu yako peke yako.
Jamani mbona mababu zetu walikuwa wanashare na maisha yaka wa fresh tuu. Tuache huu ujinga wakizungu oh one soulmate...hamnaga hayo watu tugegedua e tuenjoy life basi
 
Back
Top Bottom