Ndoa zimetengeneza vichaa wengi sana mtaani

Tatizo watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio makubwa hasa wanaume, someone needs to tell these men that expectations lead to disappointments most men are too demanding more than what women can offer, yani wao wanaamini kwamba mwanamke aliumbwa na sifa zote ambazo mwanaume anazipenda
 
Hata post ambayo inaelimisha tu, wewe utawasema wanaume.

Hata hivyo, na wanawake wanaamini wanaume wana kila kitu cha kumpa mwanamke.

Zemanda.
 
Vijana rejeeni utaratibu wa zamani wa wazee kuwatafutia watoto zao wanawake wanaoona wanawafaa,achaneni na biashara za shape,sijui elimu wengine kutaka wake wanaofanya kazi ili wawasaidie majukumu ya familia.

Cha kuzingatia anapotafutwa mwenza ni je atafaa kuwa mzazi wa watoto wako?hiyo shape au elimu yake in reality huwa haina maana tokeni mijini kaoeni vijijini kwenu huko bado kuna watoto wazuri wenye malezi sahihi.
 
Tukiwaambia kataa ndoa wanatuona sie vilaza na wakwepa majukum.

Kataa ndoa 3 wenye ndoa 0.
 
Kwamba wanaume wana matarajio makubwa kuliko wanawake?Mmmmff!Haohao wanawake wanaopenda harusi kuliko ndoa?
 
Nasikia korea kusini wana utaratibu wao , mkioana lazima mmoja aache kazi ili kubaki nyumbani kati ya mke na mume .Kuna dada nilimsikia akihojiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…