Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata post ambayo inaelimisha tu, wewe utawasema wanaume.Tatizo watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio makubwa hasa wanaume, someone needs to tell these men that expectations lead to disappointments most men are too demanding more than what women can offer, yani wao wanaamini kwamba mwanamke aliumbwa na sifa zote ambazo mwanaume anazipenda
Watu wamevurugwa vibaya hawaamini tena katika ndoa.
Kwamba wanaume wana matarajio makubwa kuliko wanawake?Mmmmff!Haohao wanawake wanaopenda harusi kuliko ndoa?Tatizo watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio makubwa hasa wanaume, someone needs to tell these men that expectations lead to disappointments most men are too demanding more than what women can offer, yani wao wanaamini kwamba mwanamke aliumbwa na sifa zote ambazo mwanaume anazipenda
Nasikia korea kusini wana utaratibu wao , mkioana lazima mmoja aache kazi ili kubaki nyumbani kati ya mke na mume .Kuna dada nilimsikia akihojiwa.Vijana rejeeni utaratibu wa zamani wa wazee kuwatafutia watoto zao wanawake wanaoona wanawafaa,achaneni na biashara za shape,sijui elimu wengine kutaka wake wanaofanya kazi ili wawasaidie majukumu ya familia.
Cha kuzingatia anapotafutwa mwenza ni je atafaa kuwa mzazi wa watoto wako?hiyo shape au elimu yake in reality huwa haina maana tokeni mijini kaoeni vijijini kwenu huko bado kuna watoto wazuri wenye malezi sahihi.
Kuna uzi anasema muda huu yuko kanisani akiandika majina adui zakeBora ligi zirudi haiwezekani Pdid aondoke kwenye ule uzi wa mikeka aje huku...