Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

Mwezi wa 12 ni wa mwaka gani?
Inawezekana kwa kuwa rais ni mwanamke, basi mwanamme atakayemfuatia ndio anaonekana kama anautwaa umiss? Kuwa December sio tatizo, nakimbuka uchaguzi fulani mgombea mwenza wa cuf alifariki, uchaguzi ukasogezwa mbele na ukafanywa December, nafikiri ilikuwa 2005, hivyo hiyo shindano pengine ndio uchaguzi.
Wewe umeoneshwa kila kitu, unaogopa tu kuweka wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…