Nimeota Tume huru imeundwa kuchunguza tukio la kuteswa na kumwagiwa tindikali dumu zima. halafu sili- kali ikaxema itatoa tamko, (Nikaamka) nkaenda kukojoa nlivyorud kulala nkaota tena miaka mitano imepita sili-kali haijatoa tamko. Yani hiz ndoto hizi dah! Duh!
Duh!mm nimeota napita na dawa za kulevya jnia wala sijakaguliwa nimetoa mkwanja mdogo tu wakaniambia pita sepa kabla mwakyembe hajafika!!
Unamaanisha nini mkuu?
et leo nimeota nipo mwenyewe dunian yaaan dah
nimeota nina orodha ya wauza tindikali, nikataka kuwataja nikashtuka.Mi nimeota unanyofolewa kucha na mtu aliyekuwa na kitu chenye ncha kali na mwingine alikuwa na dum la Tindikali...!
Hapohapo hiyo ndoto ikahamia kwangu nikaota huyo baba kapelekwa kwenye bembea ili asahau umasikini wa nyumbani kwake.aisee hizi ndoto ni hatari,nimeota baba kasafiri kutoka kijijini kwenda mjini kumtembelea rafiki yake kufika huko rafiki yake akamwuliza 'kwa nini hadi leo familia yako ni masikini?' baba akajibu kuwa yeye mwenyewe afahamu ila anadhani familia yetu itakuwa Imerogwa.