ndoto yako inafanana na ya kwangu sema mimi nimeota ndoto naenda kulala halafu nilivyo lala nikaota tena kwa hiyo nilikuwa na ndoto tatu zimepandana.
Mi nimelala bhana msipigie kelele nisije nikakosa nami ndoto!
Uliyeleta thread ni mwana falsafa makini ika majitu yashaiharibu unaonekana huna jipya. Hivi vyuo vinafunguliwa lini hawa form 6 waww bize na assignments na kuclear supp??
Nime ota FastJet ana kunywa gahawa na kagame!...
Nimeota nimetekwa wakati nasimulia ndoto ya majina ya vigogo wa madawa ya kulevya kwenye ndoto.