Ndoto Ndoto Ndoto Jamani Ndoto hizi, Yaani dah! Yaani Duh!

cjalala ucku kucha nlikuwa naota kuwa mtatupia tu hii thread ktk jukwaa letu...!!!
kumbe kweli....!!!????
 
Et na mm nimeota 2015 kutakuwa na aina mpya ya wizi(NEW VESION),Na pia kituo cha basi ubungo kimeamia BAGAMOYO!
 
nimezipenda ndoto zako zinaendana na ukweli wa majuha flan.
Umeona eeh! Hata mi huwa nashangaa mara nyingi nikiota ndoto zangu zinaendana na ukweli. Kwa mfano juzi niliota Waheshimiwa wamefutiwa adhabu mjengoni baada ya kiti kupewa ushauri kuwa kilitumia mamlaka vibaya na ubabe pasipo ulazima wowote.
 
Nimeota wabunge wanapewa mafunzo ya kujilinda ili kuepuka askari wanaopiga mitama waheshimiwa.
 
Kuamkia leo eti naota niko kwenye jumba la mfalme mswati. Tupo wamama wa nguvu. Haki ya nani hutaamini raha nilizokuwa napata mle. loooh naendelea kuitafuta ile ndoto natamani iwe kweli.
 
Kweli huko nikufilixika fikira mwenye uwelewa huelewa maana asiye mwelewa hato elemaana
 
me meota nimeamka...kufungua mlango nikakuta nje hakupo
 
me meota nimeamka...kufungua mlango nikakuta nje hakupo
Yaani dah! Yaani duh! Mkuu hiyo ndoto yako ni kiboko! Sijawahi kuisikia. Ngoja nilale labda ntaota kali kuzidi hii yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…