Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

Mkuu ulishawahi kuona mchoro wa tembo mwenye mabawa?
Hii inaitwa Arts
Yaani unatoa, kuongeza au kupunguza rangi au kiungo cha idea ya kitu flani unakipachika kwenye kitu kingine, lakini kiuhalisia hakuna kitu kama hicho,
Ubongo unauwezo wa kufanya hiyo kitu mtu akiwa ktk hali ya usingizi au ndoto yaani ina extend idea ya kitu flani
 
Ulishawahi kubet?
 
Daaah hakika kweli mkuu.
 
Ndio mkuu, nitafurahi sana
Pitia huu uzi
 
Upon sawia kabisa ndoto siyo lolote wala chochote . Ndoto ni mkusanyiko wa mambo ambayo unakuwa ukiyawazia na kuyafikiria wakati ukiwa ktkshughuli za kila siku. Hivyo unapolala ubongo unapopumzika unaanza kuota ndoto ambazo chimbuko lake ni mawazo ya siku kabla ya kulala. Hayo ni mawazo yangu tu.
 
Mkuu uzi umeshiba sana huu, shukrani nyingi zikufikie[emoji120][emoji120]
 
Uoo sahihi unaukaribia ukweli
 
Vipi kuhusu ndoto zinazootwa na kutokea?
 
Sayansi gani unayoishi iliyoshindwa kukupa uhalisia wako,kesho yako,kukuepusha na misukosuko ya kimaisha,yani inashangaza mtu hata hujui kesho utaamkaje unajinadi unaishi kisayansi,hujui chochote kuhusu ndoto,kwanza watu walio na uelewa wa haya maisha tunayopambana nayo kiroho na kimwili akisoma ulichoandika inasikitisha sana.ndoto ziko hadi kwenye vitabu vitakatifu ,hongera wewe mwanasayansi maana wanaofuata maandiko matakatifu ni washamba.
 
Sasa huoni kama hii ndoto yako ilikuwa na maana?

Mleta mada anasema ni sehemu ya ubongo kupumzika. Sasa hebu twambie hii ndoto yako ilikuwa inapumzik kitu gani na huku unaota uhalisia kabisa.?
 
Sasa huoni kama hii ndoto yako ilikuwa na maana?

Mleta mada anasema ni sehemu ya ubongo kupumzika. Sasa hebu twambie hii ndoto yako ilikuwa inapumzik kitu gani na huku unaota uhalisia kabisa.?
Ndoto kuwa na maana ni tofauti na kutabiri, concept yangu ni kuhusisha ndoto na habari za maono (kuona tukio ambalo linakuja mbele)

Watafiti bado wanaendelea kujifunza mengi kuhusiana na usingizi na matokeo yake, japo tumejifunza mengi sana kuhusiana na usingizi lakini yapo mengi tusiyoyajua kuhusiana na usingizi. Kwenye mzunguko wa usingizi vitu vingi zikiwemo kemikali za ubongo zinahusika kama neurotransmitters ambayo huzisaidia nerves ziweze kuwasiliana

Kwa hiyo maoni yangu kuhusu usingizi yanaweza tofautiana na maoni ya mtu mwingine lakini haimaanishi kua mmoja kapotosha, hapana hili ni jambo lenye wigo mpana kila mmoja anaweza kuelezea part yake ambayo kaielewa vizuri. Mfano kupitia hoja ya mtoa mada ukiidadisi utaona ina relate na kitu kinacho itwa REM SLEEP
 
Kwa comment hii Huu uzi sio saizi yako
 
kuna jama yuko muhumbili alipata ajali..na amepoteza kumbu kumbu zote isipokuwa maneo mawili...Nyasubi na kahama ndio anayotamka..huyu unamzungumziaje mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…