Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Kinachokufa ni mwili tuu ila roho zinaendelea kuishi katika hali nyingine, na hapo huyo mwanao alikuja kukusabahi tuu,, na ukitaka kujua ni hyo iilikuwa halisi ndoto hyo hukuisahau asbuhi na hutokuja kuisahau,, ila zile ndoto za kawaida km za kushiba alizosema mtoa mada huwa mara nyingi ukiamka unakuta umezisahau kwa 90%
 
Binadamu tumeumbwa kwa namna ya pekee sana,, ukizitafakari sana ndoto utagundua mengi sana kwenye ndoto ambapo huwa ni ulimwengu wa roho

Mfano ndani ya dk 5 unaweza kuota mambo ya kufanywa kwa mwezi mzima au mwaka mzima
 
Namba 3.Ndoto hizi ukiota lazima utaikumbuka yote na halafu unajiwa na hali ya kukufanya uitafakari au kuirudia kuikumbuka mara kwa mara,its vey interesting,kikubwa usiidharau aina hii ya ndoto maana huwa ni vitu halisi ninavyoweza kuja kukutokea..
 
sio kweli.
kwa mfano hiyo no. 2, mwanaume huwa anaota anafanya mapenzi na kujimwagia shahawa kutokana na kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi/kuzitoa hivyo inafikia kipindi zinatoka zenyewe.
umesoma kwa pupa.
hapo anaongelewa mawanamke mkuu.
kukutwa na mbegu za kiume wakati alilala peke yake.
hata kwenyw vyombo vya habari hizo habari hasa walimu vijijini hayo mambo hutangazwa.
au tuseme mwanaume ulale peke yako chumbani ukute mbegu za kiume kwenye makalio mkuu.
 
wapi umeandika anazungumziwa mwanamke ?
 
wapi umeandika anazungumziwa mwanamke ?
nilitegemea kwa sababu ni jukwaa la kufikiri kidogo ungeelewa nilipoandika " Kuota unafanywa mapenzi" ''sio unafanya mapenzi".
asante kwa maoni lakin mkuu.
ubarikiwe.
 
umeacha moja ''hali ya kiroho pale ulipolala''
na hiyo aina ya kwanza nadhani ungesema kutokana na shughuli nyingi
 
nilitegemea kwa sababu ni jukwaa la kufikiri kidogo ungeelewa nilipoandika " Kuota unafanywa mapenzi" ''sio unafanya mapenzi".
asante kwa maoni lakin mkuu.
ubarikiwe.
duuu et unafanya na unafanywa hahahahh kwahy h ndo umeona style ya kujitetea eee
ubarikiwe pia.
 
Dah! Kuna mwaka nilikua na ukame balaha nikaota nimekutana mmojawapo kati ya wale wadada wanaounda kundi la Blue 3, basi si akaniachia number ya simu dah! Kuna mjinga si akaniamsha! Nikastuka nikiwa sijamaliziwa number moja ya mwisho aisee wacha nihangaike kubuni number ili niwasiliane na mtoto😀😀😀😀
 
Miye nikiota huwa nikiamka sikumbuki nilichoota usiku wa kuamkia leo! Je hilo nalo ni tatizo...
Ila nikinuiya kumwomba Allah anilinde usiku na anikumbushe ndoto nitakayoota huwa naikumbuka na nisipofanya hivyo sikumbuki.
Je hali hii inaashiria kitu gani?
 
Asante sana kwa mwaliko nilikuwa offline ngoja nitulie nitarejea
 
Mm huwa sioti trust me huwa sioti
ukiona huoti ndoto yeyote ile basi punguza au acha kabisa kutumia pombe kali,bangi,au cocain utaona maajab. Kwa maana kila mwanadam anakawaida ya kuota ndoto kila siku ingawa kuna ndoto zingine huwa hatuzikumbuki kukicha.
 
Ukiota kaka yako anayembea na mwanamke wako ina maana gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…