Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
Hatua zako za maishaMimi huwanaota niko shule ya msingi nafanya mtihani,sijasoma hii inamaana gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu una kwamishwa unapaswa kutoka huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatua zako za maishaMimi huwanaota niko shule ya msingi nafanya mtihani,sijasoma hii inamaana gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni relevant na harakati zako za maisha ki ujumlaAsante ni kwli mara nyingi nkiota npo darasani huwa naota nafanya mitihani japokua mara nyng ni migumu LAKINI sijawahi kumalza mtihani wwte had ndoto inaisha
sikuhizi naona sana kufanya mitihani shule tena mitihani mingi ya elimu ambayo sijaifikia, yale maswali yanakua marahisi na mengine hayahusiani hata na shule ' shida inakuja kwenye kujibu nikitaka kuandika mkono haufiki kwenye ______ unakua mzito Ikifika dk5 kukusanya karatasi mkono unafika sijazi hata time is over! nabaki najilaumu mbona sikujaza.Asante ni kwli mara nyingi nkiota npo darasani huwa naota nafanya mitihani japokua mara nyng ni migumu LAKINI sijawahi kumalza mtihani wwte had ndoto inaisha
Angalia uhusiano wako wa maisha yako ki ujumla na hizo ndoto.sikuhizi naona sana kufanya mitihani shule tena mitihani mingi ya elimu ambayo sijaifikia, yale maswali yanakua marahisi na mengine hayahusiani hata na shule ' shida inakuja kwenye kujibu nikitaka kuandika mkono haufiki kwenye ______ unakua mzito Ikifika dk5 kukusanya karatasi mkono unafika sijazi hata time is over! nabaki najilaumu mbona sikujaza.
Baadhi ya majibu ya UHAKIKA ya maswali yako yako hapa:Umofia kwenu wakuu,
Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao.
Nimeona ni jambo jema kukusanya mada ambazo zimeshawahi kujadiliwa kwa kina humu JF kuhusiana na Ndoto na Tafsiri zake, ili kuweka urahisi kwa wale ambao wanataka kujua tafsiri ya ndoto zao walizoota, pasi na kuwa na haja ya kuanzisha uzi mpya kuulizia kitu cha aina moja kila uchwao..
Zifuatazo ni mada zenye maswali na majibu kuhusu ndoto mbalimbali ambazo zimeshawahi kujadiliwa humu JF:
Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako..
Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?
Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?
Msaada: Nimeota nimeenda eneo nisilolijua na kukutana na vitisho
Ndoto za Mapenzi zinanitesa, nifanyeje?
Kuna mahusiano kati ya ndoto na maisha ya kawaida?
Ndoto: Sehemu muhimu kwa afya ya hifadhi ya akili
Ni kipi kilichojificha kwenye ndoto zetu?
Nini tofauti na maana kati ya ndoto na maono?
Kufanya mapenzi ndotoni
Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni...
Tofauti na tafsiri ya kula na kulishwa nyama ndotoni
sasa hapo ndio sielewagi hicho nnachokijua nashindwa kujaza ni niniAngalia uhusiano wako wa maisha yako ki ujumla na hizo ndoto.
Siku ukifanikiwa kujaza utakuwa wa tofauti kwenye mambo yako
Mkuu itapendeza zaidi kama tutawasiliana pmsasa hapo ndio sielewagi hicho nnachokijua nashindwa kujaza ni nini
Mkuu itapendeza zaidi kama tutawasiliana pm
Muombe Mungu akulinde na akusaidie. Nyoka mweusi ni ishara ya mchawi anakufuatilia. Nyoka mweusi ni ishara ya mchawi aliyekomaa kwenye uchawi.Dah mimi niliota juzi nakimbizwa na nyoka mweus
Yani mwenyewe ndoto za mitihani na kutokujaza zinaziandama mno..Hadi muda unaisha sijajaza chochote..na Mara najikuta nipo peke yangu kwenye chumba Cha mitihanisikuhizi naona sana kufanya mitihani shule tena mitihani mingi ya elimu ambayo sijaifikia, yale maswali yanakua marahisi na mengine hayahusiani hata na shule ' shida inakuja kwenye kujibu nikitaka kuandika mkono haufiki kwenye ______ unakua mzito Ikifika dk5 kukusanya karatasi mkono unafika sijazi hata time is over! nabaki najilaumu mbona sikujaza.
ukifikiria sana unaweza kufa kihoroYani mwenyewe ndoto za mitihani na kutokujaza zinaziandama mno..Hadi muda unaisha sijajaza chochote..na Mara najikuta nipo peke yangu kwenye chumba Cha mitihani
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhusiano wako wa maisha na mipango yako.Mm mara kadhaa nilishaota nakata gogo muda mreeeefu yani zaidi ya saa mm nipo zangu nakata gogo.
Pia nikianza safari kamwe sifiki ninakoenda hata kama ni karibu.
Pia hua ninaota nipo zangu shule wkt shule nilishahitimu kitambo.
Kuna mlima fulani mrefu huko kwetu basi huo mlima naota nauona maeneo tofautitofauti.
HIZO NDOTO ZOTE HUJIRUDIA MARA KWA MARA sijui maanake nini!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yako ata drop kwenye shughuli zake.Jana nimeota nipo chumbani kwangu, ila mbingu naiona Sasa sijajua hilo mbingu ndio lilikuwa paa langu au vipi, nikafanya kwaishara ya mikono yangu namuonekano wambingu ukabadilika ila nikashindwa kuurudisha katika muonekano wake wamwanzo kila nikijaribu kufanya kwaishara wapi nikashindwa.
Ndoto nyingine nimeota nipo tupo juu yajengo laghorofa nafundi fundi anajenga ghorofa namimi sikumbuki nilikuwa nafanya nini ila kama vile nilikuwa namsaidia fundi nawakati huo lile ghorofa linaonekana sio imara kabisa yaani fundi analijenga kwakulipua kwamakusudi namda huo mimi nayeye tupo juu na nilimwambia kabisa kuwa litatudondokea na kwakweli mda sio mrefu ghorofa lilidondoka ila tulipona ila mmiliki waghorofa ndio alifukiwa tukaanza kumuopoa yeye pamoja navitu vyake. Nakiuhalisia huyu mmiliki ambaye nimemuota nimteja wangu kwenye biashara yangu naninamdai hapa nilipo nanimfanya biashara wakawaida nawala hana uwezo wakujenga ghorofa namda huu navyotype hapa yeye yupo mbeya amefata viazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuz katika hatua zako na majaribu yako.Yani mwenyewe ndoto za mitihani na kutokujaza zinaziandama mno..Hadi muda unaisha sijajaza chochote..na Mara najikuta nipo peke yangu kwenye chumba Cha mitihani
Sent using Jamii Forums mobile app