Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Asante ni kwli mara nyingi nkiota npo darasani huwa naota nafanya mitihani japokua mara nyng ni migumu LAKINI sijawahi kumalza mtihani wwte had ndoto inaisha
Ni relevant na harakati zako za maisha ki ujumla
 
Asante ni kwli mara nyingi nkiota npo darasani huwa naota nafanya mitihani japokua mara nyng ni migumu LAKINI sijawahi kumalza mtihani wwte had ndoto inaisha
sikuhizi naona sana kufanya mitihani shule tena mitihani mingi ya elimu ambayo sijaifikia, yale maswali yanakua marahisi na mengine hayahusiani hata na shule ' shida inakuja kwenye kujibu nikitaka kuandika mkono haufiki kwenye ______ unakua mzito Ikifika dk5 kukusanya karatasi mkono unafika sijazi hata time is over! nabaki najilaumu mbona sikujaza.
 
Angalia uhusiano wako wa maisha yako ki ujumla na hizo ndoto.
Siku ukifanikiwa kujaza utakuwa wa tofauti kwenye mambo yako
 
Baadhi ya majibu ya UHAKIKA ya maswali yako yako hapa:










 
Dah mimi niliota juzi nakimbizwa na nyoka mweus
Muombe Mungu akulinde na akusaidie. Nyoka mweusi ni ishara ya mchawi anakufuatilia. Nyoka mweusi ni ishara ya mchawi aliyekomaa kwenye uchawi.
 
Jana nimeota nipo chumbani kwangu, ila mbingu naiona Sasa sijajua hilo mbingu ndio lilikuwa paa langu au vipi, nikafanya kwaishara ya mikono yangu namuonekano wambingu ukabadilika ila nikashindwa kuurudisha katika muonekano wake wamwanzo kila nikijaribu kufanya kwaishara wapi nikashindwa.


Ndoto nyingine nimeota nipo tupo juu yajengo laghorofa nafundi fundi anajenga ghorofa namimi sikumbuki nilikuwa nafanya nini ila kama vile nilikuwa namsaidia fundi nawakati huo lile ghorofa linaonekana sio imara kabisa yaani fundi analijenga kwakulipua kwamakusudi namda huo mimi nayeye tupo juu na nilimwambia kabisa kuwa litatudondokea na kwakweli mda sio mrefu ghorofa lilidondoka ila tulipona ila mmiliki waghorofa ndio alifukiwa tukaanza kumuopoa yeye pamoja navitu vyake. Nakiuhalisia huyu mmiliki ambaye nimemuota nimteja wangu kwenye biashara yangu naninamdai hapa nilipo nanimfanya biashara wakawaida nawala hana uwezo wakujenga ghorofa namda huu navyotype hapa yeye yupo mbeya amefata viazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm mara kadhaa nilishaota nakata gogo muda mreeeefu yani zaidi ya saa mm nipo zangu nakata gogo.

Pia nikianza safari kamwe sifiki ninakoenda hata kama ni karibu.

Pia hua ninaota nipo zangu shule wkt shule nilishahitimu kitambo.

Kuna mlima fulani mrefu huko kwetu basi huo mlima naota nauona maeneo tofautitofauti.

HIZO NDOTO ZOTE HUJIRUDIA MARA KWA MARA sijui maanake nini!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mwenyewe ndoto za mitihani na kutokujaza zinaziandama mno..Hadi muda unaisha sijajaza chochote..na Mara najikuta nipo peke yangu kwenye chumba Cha mitihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhusiano wako wa maisha na mipango yako.
Vizingiti na vikwazo
Majaribu yako kwenye maisha yako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yako ata drop kwenye shughuli zake.
Fanya mpango umtengenezee njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…