Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

dini ni utamaduni kama ilivyo siasa au sanaa...vyote waasisi ni wanadamu.
naye Aleyn pia umuelewe kamjibu vile si lazima huyo alieuliza awe na dini hiyo ni ishara kaacha utamaduni wake wowote ule anaoumini.usifikiri nilimsapoti kwa kukurupuka nina experience ya watu walioota mfano wa ndoto kama hiyo na wakapewa majibu kama hayo na wakakiri kuwa ni kweli
 
nenda kwa viongozi wako wa dini wakakutafsirie maana wengi wamepewa maono..hapa utaingizwa chakaa maana kila mtu mjuajii
 
AKIJA MZIZIMAKAVU NA MCHEZA KARATE HAPA UNAWEZA JINYONGA WW UNGEPOREZEA TU HYO NDOTO
 
Ushauri wangu, ukishtuka kwenye ndoto za hivyo zikatae na kuharibu kabisa nia za ndoto hizo, mipango yote ya ibilisi natakasa maisha yako mwili na kila kitu chako kwa Damu ya Yesu. Na kama ni ndoto ya nafanikio basi ikamate na kuimiliki na kuizungushia ulinzi wa Damu ya Yesu. Usiwaze tu na kusubiri umsimulie mtu. Sometimes ni maono yenye maonyo au ujumbe na sometimes ni vita na muovu. Allen kakuambia possible meaning mimk nimekwambia nini ufanye next time inakutokea. It doesn't cost a thing lkn inasaidia sana huwezi kuwa na wasiwasi maana tayari umeikataa hiyo ndoto.
Sehemu gani au katika kanisa gani inapatikana damu ya yesu tunavyojua yesu keshaondoka duniani miaka elfu na kitu na hakuna mtu aliye ihifadhi au kuweka damu ya Yesu kweli waongo wengi duniani.
 
Mmh mercky ngoja tu niseme neno kwamba hiyo ndoto ilikuwa na maana mbili
1. Alikuwa anawangiwa ndio maana kaamka kichwa kinamuuma
2. Ni ndoto tu ya kawaida inayomtabiria mema kwakuwa kuna baadhi ya ndoto tafsiri huwa kinyume

Asante kwa tafsiri lakini nina swali hapo
 
[QUOTEWhat'sSEPH LUHUSA, post: 15070430, member: 342532"]USIPENDE SANA KUTABIRIWA UTAKUJA KUPELEKWA PABAYA SIKU MOJA.MWAMINI MUNGU.AKIKUONYA JIREKEBISHE.[/QUOTE]
Dah.. What's the difference?
 
Back
Top Bottom