Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 630
Sisi kwetu ukiota umekufa inamaana siku hiyo ulishiba sana na ukiota harusi ujue kuna msiba unakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutafsiri ndoto ni elimu pana sana ndugu, sio kama unavyodhani. Kuna mawili hapo. Kuna ndoto unazoota kwa kurejea kumbukumbu za mchana, huweza kujirudi kutegemeana na shughuli na fikra za mambo ya mchana.Mie nataka tu uniambie je mtu akiota ndoto na ikajirudia mara kwamara kwa siku tofauti zaidi ya mara ishirini inamaanisha nini?
Binadamu ktk ulimwengu wa roho kuna wakati roho huwa inaishi na kufanya matukio hata pale unapokuwa umelala.Habari ukiota adui yako yupo na mke wako tena chumbani kwako ulipofika ukampiga yule adui sana mwisho yule adui yako akasema nimetumwa na baba ila naenda. Hapo ina maana gani?
Hilo sio tatizo ndugu, wengi hudhani ni ulozi. Kumbuka roho huwa haina limit ya muda, umbali nk, kuna wakati huwa roho inazunguka ktk maeneo mengine ila bila kuacha mwili, hivyo unajiona unapaa, kuruka nk.Habari, naomba kuuliza hivi ukiwa unaota kama unaelea angani au unapaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine hii maana yake nini? Na inasababishwa na nini?
Asante!
IYOHabari, naomba kuuliza hivi ukiwa unaota kama unaelea angani au unapaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine hii maana yake nini? Na inasababishwa na nini?
Asante!
Hivi ikiwa nimeota nakimbiza bata nina maana ya bata co tafsiri nyengne ,wakati namkimbiza huwa najitahidi sana kumkaribia lakini simpati na nguvu ya mm kukimbia inapungua sana jee hii ina maana gani
1. Kuna mtego umetegewa huenda ukanasa, jitahidi kuwa makini na marafiki na watu wanaokuzunguka.Je ukiota unatumbukia shimoni tena shimo kubwa ,je hyo ina maana gani?
Kuna jambo linaendelea, na kuna mipango inapangwa dhidi yako, bila wewe kujua. Tena ni watu wako wa karibu(njia) Huenda mwisho wake hautokuwa mzuri kwako.(njia usioyoijua)Naota napita sehemu ninayo ifahamu lakino mwisho napotea kwa kutokea sehemu nisiyoifahamu
Ndoto inajirudia miaka kumi sasa
kuna mapepo huwa yanaharibu ndoa/mahusiano nk. Tazama, kuna pepo baya linakuja kuleta mgogoro ktk ndoa yako.Mara nyingi naota nafanya mapenzi na msichana mwenzangu wakati mwingine nimetoka kufanya na mume wangu nikipitiwa na usingizi naota nafanya na msichana mwenzangu Mara nyingi niwaota marafiki zangu msaada hapi
tazama, shughuli zako za kiuchumi zitayumba, na matumizi ya pesa hayatokuwa sawa. Kuna roho chafu imekuandama inakurudisha nyuma ktk mafanikio.Hivi ikiwa nimeota nakimbiza bata nina maana ya bata co tafsiri nyengne ,wakati namkimbiza huwa najitahidi sana kumkaribia lakini simpati na nguvu ya mm kukimbia inapungua sana jee hii ina maana gani
Utakuwa una jini mahaba wa kike anaitwa msalibianil kwa ushauri zaidi ni pm nikusaidieMara nyingi naota nafanya mapenzi na msichana mwenzangu wakati mwingine nimetoka kufanya na mume wangu nikipitiwa na usingizi naota nafanya na msichana mwenzangu Mara nyingi niwaota marafiki zangu msaada hapi