Nimeota nimelala kitandani na kuna wachawi wawili wamekaa kitandani kwangu, mmoja kafunikwa usoni kidogo na kanga. Nikajitahidi kuomba ila wap, ghafla nikamwona mdada amekaa juu ya kitanda nae amenyoosha mikono Kama anasali ila kimya kimya. Wale wachawi wakapotea nikaamka. Kuangalia saa ni saa 5 na dk 34 usiku. Sijapata usingizi mpaka sasa. Inaweza kuwa na maana yyte hii ndoto?