zulushaka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 372
- 299
Huyo ni jini mahaba mara nyingi usiku umalizapo tendo la ndoa na mumeo naye hukufata hvyo uwe unaoga pind umalizapo mchezo na mumeoMara nyingi naota nafanya mapenzi na msichana mwenzangu wakati mwingine nimetoka kufanya na mume wangu nikipitiwa na usingizi naota nafanya na msichana mwenzangu Mara nyingi niwaota marafiki zangu msaada hapi
zipo tba zake. Ila huyo ni mbaya sana hapend kuona unadumu na mpenz wako
Husababsha maugonv ya mara kwa mara kwa wapendanao fanya umuondoe