Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
[emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji98] [emoji81]Ndio hasa km umelala ukiwa umeshiba sana tena magimbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji97] [emoji98] [emoji81]Ndio hasa km umelala ukiwa umeshiba sana tena magimbi
ha ha haaaaMmmh...ngoja waje
kuna wataalam wanaweza kukusaidia usichekeha ha haaaa
hahaahaMagufuli ni ishara ya maisha magumu
Kwanini vijana wa ccm?Hayo maswali yaelekeze kwa vijana wa CCM watakusaidia.
poa poa ngoja niwasubirikuna wataalam wanaweza kukusaidia usicheke
Wana uzoefuKwanini vijana wa ccm?
Kama wewe ni Mkristo tumia Damu ya Yesu, jifunike kwa Damu ya Yesu kabla haujalala, na kemea hizo ndoto kwa jina la Yesu. Pia muombe Roho Mtakatifu akusaidie. Na zaidi pata msaada wa kiroho kwa mtumishi wa Mungu unayemuamini.
Haiuzwi yenyewe ilitolewa bure tu, cha msingi ni kumwamini Mungu katika kristu yeye aliye njia na uzima wa Wote. Omba, amini na utaponaIyo damu ya yesu inauzwa wapi mkuu,,,naku P.M unielekeze mkuu
Mungu yupi sasa mtumishi?,,,aliemuumba yesu au yesu mwenyeweHaiuzwi yenyewe ilitolewa bure tu, cha msingi ni kumwamini Mungu katika kristu yeye aliye njia na uzima wa Wote. Omba, amini na utapona