Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Hayo maswali yaelekeze kwa vijana wa CCM watakusaidia.
 
Duh Mkuu, kwa ndoto kama hizi kwel bongo hali ngumu ....

Usihofu lakini tutafika tu hata hio ndoto yako jibu utalipata....
 
Binafsi nimepitia hiyo ganzi ilinitesa sana na kunipa hofu hasa usiku japo hata mchana ilikua ikinitokea pia, ni kwa maombi tu nimeishinda hiyo hali
 
Hiyo namba moja si nzuri hata kidogo. Jitahidi utazame matendo yako na umrejee mola yako. Ni ishara ya kuporomoka kama hutabadili baadhi ya mambo yako.
 
Namba mbili na moja zinafanana. Kuwa makini na matendo pamoja na mienendo yako. Nazungumza haya kwa uzoefu.
 
Kama wewe ni Mkristo tumia Damu ya Yesu, jifunike kwa Damu ya Yesu kabla haujalala, na kemea hizo ndoto kwa jina la Yesu. Pia muombe Roho Mtakatifu akusaidie. Na zaidi pata msaada wa kiroho kwa mtumishi wa Mungu unayemuamini.
 
NDOTO NILIZO OTA WIKI HII.
1. Nasimamia mtihani wa wanachuo.
2. Namiliki mansion na gari ya kifahari
3.Nimeota niko uchi, ila watu hawanioni, fundi nguo akanisitiri kwa kaptura ya jinzi ya kubana sana.
4. Nimemuota Alex Kasengo kavaa suti ya Kisukuma, ina urembo mwingi sana, kaongozana na mkewe.
5. Nimeota,Alex Kasengo ni jirani yangu na,tumejenga nyumba zetu kwenye very prime area
 
Kama wewe ni Mkristo tumia Damu ya Yesu, jifunike kwa Damu ya Yesu kabla haujalala, na kemea hizo ndoto kwa jina la Yesu. Pia muombe Roho Mtakatifu akusaidie. Na zaidi pata msaada wa kiroho kwa mtumishi wa Mungu unayemuamini.

Iyo damu ya yesu inauzwa wapi mkuu,,,naku P.M unielekeze mkuu
 
Back
Top Bottom