Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Ndoto tunazoota na tafsiri zake

Nimeota nasaini mafaili ili nile kiapo mbele ya Rais ila kabla cjaapa akaniuliza mbona kazi niliyokupa hujamaliza nikamjibu kuwa ckuwepo oficn hvyo akaondoka na kupanda gari. Je hii tafsiri yake ni nn
 
Mwaka juzi niliota kuwa mwanasheria mkuu wa serikali amefariki, ktk ndoto nikawa namhadithia mama huku nalia, haikuchukua muda mwanasheria mkuu wa Serikali akajiuzulu. Ndipo nikaelewa maana yake ila nikabaki najiuliza kwanini niote ile ndoto wakati sina hata uhusiano na yule mwanasheria mkuu wa serikali maana kama ningekuwa nahusiana naye huenda ningemwambia akajirekebisha kama kuna jambo alikuwa anakosea. BWANA HUZUNGUMZA NA WATU WAKE KUPITIA NDOTO. Swali: unaweza kumuotea ndoto mtu ambaye huna hata uhusiano naye? Na kwanini?
 
Nimeota ndoto lakini cha kushangaza mpaka kufikia jioni hii nimesahau..!
 
Hii maana yake ni kwamba ubongo wako (subconscious mind)inajaribu kukueleza kuhusu mambo mengi unayoshindwa kutimiza kwenye maisha yako kwa sababu yoyote ile.
Taswira ya raisi uliyoiona ni moja ya aspects ya personality yako. Halikadhalika taswira yako katika ndoto ni wewe pia.

Jitahidi ufanikishe mambo yako unayojiwekea.

Ndoto ni namna tu subconscious mind yako inavyojaribu kuzungumza na wewe kupitia experience unazokutana nazo kwenye life

Bila shaka hii itasaidia
 
Mwanasheria wa serikali uliyemwota ndotoni siyo unayemdhania. Taswira uliyoona katika ndoto ni sehemu ya personality yako.

Iko hivi

Yawezekana kabla ya wewe kuota ulipata kujadili jambo fulani kumhusu au pengine ulisikia tu watu wanamzungumzia (hapa namaanisha mwanasheria halisi wa serikali katika tukio halisi)

Jaribu kuchunguza je katika life yako kuna kitu umepoteza? Je kuna misimamo fulani ya zamani umeacha? Je kuna lolote la zamani ulilipenda/kulichukia umeliacha?

Maana ya kifo kwenye hii ndoto yako ni transition. Yaani kipindi cha mabadiliko.

Kuhusu kumsimulia mama hapo pia mama uliyemwona bado ni sehemu ya personality yako.

Mama ni sehemu salama au ni kimbilio hususani wakati wa maswahibu. Ndiyo maana ulipoona kifo ukamwambia yeye.

Maana yake unajambo unataka uliache (transition)au umeshaliacha na mama ni ishara tu kwamba jambo unaloacha ni faida kwako

Blessings
 
Ndivyo ilivyo kusahau ndoto ni kawaida tu. Na hata wanaosimilia ndoto na kudhani wamesimulia kila kitu wengi wanakuwa mawesahau mambo mengi waliyoota
 
Hii maana yake ni kwamba ubongo wako (subconscious mind)inajaribu kukueleza kuhusu mambo mengi unayoshindwa kutimiza kwenye maisha yako kwa sababu yoyote ile.
Taswira ya raisi uliyoiona ni moja ya aspects ya personality yako. Halikadhalika taswira yako katika ndoto ni wewe pia.

Jitahidi ufanikishe mambo yako unayojiwekea.

Ndoto ni namna tu subconscious mind yako inavyojaribu kuzungumza na wewe kupitia experience unazokutana nazo kwenye life

Bila shaka hii itasaidia

Asante sana!! Japo bado nipo gizani kwahyo najitahidi kumaliza kazi ninazopewa kazini??

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Nyingine niliota napandisha mlima upo km ukuta japo nilipanda kwa shida ila nilipofika juu nilikuwa ghorofani kuna wazungu na mataifa mengine wanakula maisha na mm nikaungana nao japo ckula vyakula vyao ht vinywaji

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Umofia kwenu wakuu,

Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao.

Nimeona ni jambo jema kukusanya mada ambazo zimeshawahi kujadiliwa kwa kina humu JF kuhusiana na Ndoto na Tafsiri zake, ili kuweka urahisi kwa wale ambao wanataka kujua tafsiri ya ndoto zao walizoota, pasi na kuwa na haja ya kuanzisha uzi mpya kuulizia kitu cha aina moja kila uchwao..

Zifuatazo ni mada zenye maswali na majibu kuhusu ndoto mbalimbali ambazo zimeshawahi kujadiliwa humu JF;

Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako..

Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?

Msaada: Nimeota nimeenda eneo nisilolijua na kukutana na vitisho

Ndoto za Mapenzi zinanitesa, nifanyeje?

Kuna mahusiano kati ya ndoto na maisha ya kawaida?

Naomba tafsiri ya hii ndoto: Nimeota nimekufa na kuwekwa ndani ya jeneza

Naomba mnitafsirie hii ndoto
========

NB
: Kama kuna uzi ambao ushawahi kujadiliwa kwa kina kuhusu ndoto na haupo kwenye hiyo orodha hapo juu, tafadhali tukumbushane ili niuongeze hapa.

Wasalaam..
Pitia uzi namba 2235.Upo kule kwenye forum ya tafsiri za ndoto.
 
Mara nyingi naota nafanya mitian ya form six au nimerudia form six, wakati nina miaka zaid ya kumi toka nime maliza form six, na nilifanya vizuri sana,
Pia mara nyingi huwa naota watu walio kufa, au watu ninao wajuwa wanakula nyama za watu walio kufa....
Nifanyaje nisiote hizi ndoto tena? Kama ya kurudia form six haipiti mwezi lazima niote hiyo ndoto, tena utakuta mitian inakuwa migumu alafu unakuta sijasoma.....huwa inanitesa sana hii ndoto.
 
Mwanasheria wa serikali uliyemwota ndotoni siyo unayemdhania. Taswira uliyoona katika ndoto ni sehemu ya personality yako.

Iko hivi

Yawezekana kabla ya wewe kuota ulipata kujadili jambo fulani kumhusu au pengine ulisikia tu watu wanamzungumzia (hapa namaanisha mwanasheria halisi wa serikali katika tukio halisi)

Jaribu kuchunguza je katika life yako kuna kitu umepoteza? Je kuna misimamo fulani ya zamani umeacha? Je kuna lolote la zamani ulilipenda/kulichukia umeliacha?

Maana ya kifo kwenye hii ndoto yako ni transition. Yaani kipindi cha mabadiliko.

Kuhusu kumsimulia mama hapo pia mama uliyemwona bado ni sehemu ya personality yako.

Mama ni sehemu salama au ni kimbilio hususani wakati wa maswahibu. Ndiyo maana ulipoona kifo ukamwambia yeye.

Maana yake unajambo unataka uliache (transition)au umeshaliacha na mama ni ishara tu kwamba jambo unaloacha ni faida kwako

Blessings
ok vipi kuhusu ndoto moja kuwa na maana 2? Unaweza kujuaje ndoto ya aina hiyo?
 
Mkuu wangu naomba msaada wa kutafsiri hii ndoto,

Nilikua nipo na mdogo wangu tunatembea Tu kawaida sehem ambayo ilikua ni kijijini au mashambani, maana hapakuwa na majengo mengi ila ni miti na miti niliyoiona ilikua mikuyu, tukafika eneo ambapo maji yamejikusanya mengii, ya mto na yalizuiliwa na miamba ya mawe ili yasipite ili kutengeneza ilo bwawa, maji yake hayakuwa meupe sana na yalikua yametulia tuli, ndani ya maji hayo kulikua na baadhi ya watu niliosoma nao sekondari wakiwa wanaogelea, mi nikawa ninahofu kubwa ya kuogelea kwa kuhofia kuzama, japo bwawa lenyewe halikuwa na kina kirefu, kilikua ni mita mbili na Mimi nilikua na mita moja point 9 ivyo nilikasoro point moja Tu, wakati huo wote mdogo wangu alikua yuko pembeni anajihusisha na shughuli za mikono,. Mkuu naomba unisaidie tafsir yake maana hii ndoto imenikaa kichwani sana.
 
Asante sana!! Japo bado nipo gizani kwahyo najitahidi kumaliza kazi ninazopewa kazini??

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Siyo majukumu kazini pekee. Jitahidi ufanikishe mambo unayojiwekea

Hiyo ndoto uliyoota ni kukukumbusha tu kwamba unakuwa na mipango katika maisha yako na unatamani ukamilishe lakini hukamilishi

Subconscious mind yako inajaribu kukueleza hayo. Fanyia kazi

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom