Agnes Benedicto
Member
- Dec 6, 2016
- 78
- 51
Ahaaaaaaaaaaa!!!!Mungu yupi sasa mtumishi?,,,aliemuumba yesu au yesu mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaaaaaaaaa!!!!Mungu yupi sasa mtumishi?,,,aliemuumba yesu au yesu mwenyewe
MBONA umefurahi GineAhaaaaaaaaaaa!!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]MBONA umefurahi Gine
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hii maana yake ni kwamba ubongo wako (subconscious mind)inajaribu kukueleza kuhusu mambo mengi unayoshindwa kutimiza kwenye maisha yako kwa sababu yoyote ile.Nimeota nasaini mafaili ili nile kiapo mbele ya Rais ila kabla cjaapa akaniuliza mbona kazi niliyokupa hujamaliza nikamjibu kuwa ckuwepo oficn hvyo akaondoka na kupanda gari. Je hii tafsiri yake ni nn
Mwanasheria wa serikali uliyemwota ndotoni siyo unayemdhania. Taswira uliyoona katika ndoto ni sehemu ya personality yako.Mwaka juzi niliota kuwa mwanasheria mkuu wa serikali amefariki, ktk ndoto nikawa namhadithia mama huku nalia, haikuchukua muda mwanasheria mkuu wa Serikali akajiuzulu. Ndipo nikaelewa maana yake ila nikabaki najiuliza kwanini niote ile ndoto wakati sina hata uhusiano na yule mwanasheria mkuu wa serikali maana kama ningekuwa nahusiana naye huenda ningemwambia akajirekebisha kama kuna jambo alikuwa anakosea. BWANA HUZUNGUMZA NA WATU WAKE KUPITIA NDOTO. Swali: unaweza kumuotea ndoto mtu ambaye huna hata uhusiano naye? Na kwanini?
Ndivyo ilivyo kusahau ndoto ni kawaida tu. Na hata wanaosimilia ndoto na kudhani wamesimulia kila kitu wengi wanakuwa mawesahau mambo mengi waliyootaNimeota ndoto lakini cha kushangaza mpaka kufikia jioni hii nimesahau..!
Hii maana yake ni kwamba ubongo wako (subconscious mind)inajaribu kukueleza kuhusu mambo mengi unayoshindwa kutimiza kwenye maisha yako kwa sababu yoyote ile.
Taswira ya raisi uliyoiona ni moja ya aspects ya personality yako. Halikadhalika taswira yako katika ndoto ni wewe pia.
Jitahidi ufanikishe mambo yako unayojiwekea.
Ndoto ni namna tu subconscious mind yako inavyojaribu kuzungumza na wewe kupitia experience unazokutana nazo kwenye life
Bila shaka hii itasaidia
Hii maana yake ni kwamba ubongo wako (subconscious mind)inajaribu kukueleza kuhusu mambo mengi unayoshindwa kutimiza kwenye maisha yako kwa sababu yoyote ile.
Taswira ya raisi uliyoiona ni moja ya aspects ya personality yako. Halikadhalika taswira yako katika ndoto ni wewe pia.
Jitahidi ufanikishe mambo yako unayojiwekea.
Ndoto ni namna tu subconscious mind yako inavyojaribu kuzungumza na wewe kupitia experience unazokutana nazo kwenye life
Bila shaka hii itasaidia
Pitia uzi namba 2235.Upo kule kwenye forum ya tafsiri za ndoto.Umofia kwenu wakuu,
Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao.
Nimeona ni jambo jema kukusanya mada ambazo zimeshawahi kujadiliwa kwa kina humu JF kuhusiana na Ndoto na Tafsiri zake, ili kuweka urahisi kwa wale ambao wanataka kujua tafsiri ya ndoto zao walizoota, pasi na kuwa na haja ya kuanzisha uzi mpya kuulizia kitu cha aina moja kila uchwao..
Zifuatazo ni mada zenye maswali na majibu kuhusu ndoto mbalimbali ambazo zimeshawahi kujadiliwa humu JF;
Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako..
Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?
Jinamizi ni nini? Kwanini hutokea wakati wa kulala tu?
Msaada: Nimeota nimeenda eneo nisilolijua na kukutana na vitisho
Ndoto za Mapenzi zinanitesa, nifanyeje?
Kuna mahusiano kati ya ndoto na maisha ya kawaida?
Naomba tafsiri ya hii ndoto: Nimeota nimekufa na kuwekwa ndani ya jeneza
Naomba mnitafsirie hii ndoto
========
NB: Kama kuna uzi ambao ushawahi kujadiliwa kwa kina kuhusu ndoto na haupo kwenye hiyo orodha hapo juu, tafadhali tukumbushane ili niuongeze hapa.
Wasalaam..
ok vipi kuhusu ndoto moja kuwa na maana 2? Unaweza kujuaje ndoto ya aina hiyo?Mwanasheria wa serikali uliyemwota ndotoni siyo unayemdhania. Taswira uliyoona katika ndoto ni sehemu ya personality yako.
Iko hivi
Yawezekana kabla ya wewe kuota ulipata kujadili jambo fulani kumhusu au pengine ulisikia tu watu wanamzungumzia (hapa namaanisha mwanasheria halisi wa serikali katika tukio halisi)
Jaribu kuchunguza je katika life yako kuna kitu umepoteza? Je kuna misimamo fulani ya zamani umeacha? Je kuna lolote la zamani ulilipenda/kulichukia umeliacha?
Maana ya kifo kwenye hii ndoto yako ni transition. Yaani kipindi cha mabadiliko.
Kuhusu kumsimulia mama hapo pia mama uliyemwona bado ni sehemu ya personality yako.
Mama ni sehemu salama au ni kimbilio hususani wakati wa maswahibu. Ndiyo maana ulipoona kifo ukamwambia yeye.
Maana yake unajambo unataka uliache (transition)au umeshaliacha na mama ni ishara tu kwamba jambo unaloacha ni faida kwako
Blessings
Habari ukiota adui yako yupo na mke wako tena chumbani kwako ulipofika ukampiga yule adui sana mwisho yule adui yako akasema nimetumwa na baba ila naenda. Hapo ina maana gani?
Siyo majukumu kazini pekee. Jitahidi ufanikishe mambo unayojiwekeaAsante sana!! Japo bado nipo gizani kwahyo najitahidi kumaliza kazi ninazopewa kazini??
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app