Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,284
Kupandisha mlima kama ukutaNyingine niliota napandisha mlima upo km ukuta japo nilipanda kwa shida ila nilipofika juu nilikuwa ghorofani kuna wazungu na mataifa mengine wanakula maisha na mm nikaungana nao japo ckula vyakula vyao ht vinywaji
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Hapa maana yake kuna jambo unatamani kulifanya au kufanikisha lakini hilo jambo ni gumu si rahisi. Muhimu panga mipango yako sahihi kwa kila jambo then go after it
Unajumuika na wazungu lakini huli wala kunywa
Hapa maana yake ni kwamba jambo unalotamani kulifikia hauna uhakika nalo kama litakufanya uwe na furaha au amani kama unavyotegemea.
Fikiria vizuri kuhusu mambo unayodhani unayapenda na kuyahangaikia je utayafurahia ukiyapata?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app