Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ee ndyo 😃
Bado nyumba na gari, ila nataka nianze na gari😃😃,.. Nyumba nitaishi nyumbani labda wanifukuzeBado kipi hapo mdogo wangu
Siyo kuwa na demu mwenye makalio makubwa?
Kama hauko fortunate kuzaliwa ndani ya circle ya vigogo wa CCM au ma Tycoon wenye biashara kubwa nchini lazma thinking yako itakuwa average tu.Yah ..mindset ikishakuwa average unakua unawaza average stuffs kama hivi..Japo hakuna shida pia, maana kujaribu ku accomplish the higher call/course si wote wanajaaliwa kupata ufahamu huo
Kwahio una maana wengi wana ndoto ya kupata BASIC NEEDS? Tuna safari ndefu sana.Kwema!
Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji.
Imeisha hiyo
It depend mkuu Exposure matter mostKama hauko fortunate kuzaliwa ndani ya circle ya vigogo wa CCM au ma Tycoon wenye biashara kubwa nchini lazma thinking yako itakuwa average tu.
Si lazima uzaliwe kwenye circle hiyo. Maana hata hao walioko kwenye huzo circle mostly they were not born from in there.Kama hauko fortunate kuzaliwa ndani ya circle ya vigogo wa CCM au ma Tycoon wenye biashara kubwa nchini lazma thinking yako itakuwa average tu.
Huitaji kuwa mtoto wa kigogo kupata hivyo alivyoorodhesha. Aliesema average mindset namuunga mkono.Kama hauko fortunate kuzaliwa ndani ya circle ya vigogo wa CCM au ma Tycoon wenye biashara kubwa nchini lazma thinking yako itakuwa average tu.
Far better.My dream is to be happy
Wengi wanawaza basic needs maana maisha magumuKwahio una maana wengi wana ndoto ya kupata BASIC NEEDS? Tuna safari ndefu sana.
Ili uje ulete mabadiliko chanya nchini? Hizi ndio ndoto. Sio kuota kununua Crown. WtfMie ndoto yangu ni kuja kupata moja kati ya vyeo 4 vikubwa katika Nchi Rais,Makamu,Waziri Mkuu au Spika.