Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

Wakifika miaka 60 wanataka waanze kuwa tegemezi wakati dunia wanaoumiza vichwa haswa matajiri wakubwa wengi wapo 70's ,huku bongo tunafikiria vitu vidogo vidogo na kubweteka mapema .

Ndoto kama nyumba na gari ni plan za kuwa nazo mpaka miaka 30 kama umshikika mpaka 35 uwe navyo vyote.

Kuhusu familia hapa inaendana sambamba na biashara ili watoto waje kuishi kifalme ...Ukishakuwa na familia akili inatulia halafu unapambania uchumi kwa nguvu zote..
 
Si lazima uzaliwe kwenye circle hiyo. Maana hata hao walioko kwenye huzo circle mostly they were not born from in there.
They paved a way. And this is the hardest part of the story. Ndio maana njia rahis ni kupambania daily bread tu.
Ingawa kwa namna moja nyingine nakubaliana na wewe, moat of us mazingira yametushape kuwaza hivyo.

Wamasema experience is the best teacher..but sometimes it can be the worst curse of ur future
Ukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema!

Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji.

Imeisha hiyo
Mimi ndogo yangu ni kuja kupata something around 500lmn-1 bln hivi kwenye eneo langu la ekari 30 iliyopo Mjini.

Inafaa Kwa anaetaka kuwekeza viwanda ,so I hope nitaanza kulifangia marketing kuanzia 2030-2040 niwe nimepata Mwekezaji mwenye B zake
 
Back
Top Bottom