maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Wewe unaweza ona ni vitu average sababu umepita huko. Kuwa na gari ni moja ya ndoto ya binadamu hata kama analo tayari bado huwa wanakua na dream car. Na sio wabongo hata wazungu saizi wengi ukiwaskia dream zao ni kuwa na magari yanayotumia umeme na wengine ndoto kubwa ni kununua Tesla na yale ma cybertruck.Ili uje ulete mabadiliko chanya nchini? Hizi ndio ndoto. Sio kuota kununua Crown. Wtf
So usione ndoto za mtu kununua crown bongo kama ni ufala..ni levels tu za maisha