Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

KAZI IENDELEE ..........................MAISHA BORA KWA KILA MDANGANYIKA MUTAISOMA NAMBA MADENI MULIYOKUWA NAYO NCHI ITAUZWA YOTE MPAKA N'GOMBE MBUZI KONDOO NA BINADAMU WOTE WATAUZWA HAPO BONGO LAKINI MADENI YATABAKI PALEPALE.....................MTADAIWA SANA .............MAMA ANAFUATA NYENDO ZA ALIYEKUWA RAIS WA AWAMU YA TATU.
 
Yule mgogo Aliona mbali
 
Inasikitisha sana 😭
 
Tutauza bahari/madini/ardhi
 
1. Sitisha ujenzi wa SGR, viwanja vya ndege na mwendokasi mpaka hii miradi iliyokamilika iweze kutumika na kuanza kuingiza mapato
2.Uza ndege zote za ATCL na usiendelee kununua nyingine
3. Acha kununua magari ya mavietee(V8) na matumizi mengine yasio ya lazima
4. Rekebisha mfumo wa utawala kupunguza ukubwa wa serikali na bunge
5. Ukimaliza hayo unakaa na wakopeshaji kufanya "debt restructuring"
Suluhisho sio kuendelea kukopa tu to bila ukomo
 
Rais atakaefata atakuwa na kazi nzito ya kulekebisha mashimo yanayotengenezwa hasa hivi, kiasi ambacho kitapelekea aonekane mbaya kumbe ubaya kaandaliwa na awamu hii ya sasa
Bahati mbaya sana ni kwamba ataekuja pia ni walewale walioshiri kuitumbukiza nchi kwenye madeni...ccm itamkopa wapi huyo rais mzuri?
 
Suluhisho la samia sio kukopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…