Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 462
- 907
Huyo Ndugai ndio wa hovyo kabisa aliyeuwa bunge letu.
Nashangaa kuna wajinga mnamuona kama aliongea jambo la maana huku anafukuza bungeni wasimamizi wa raslimali zetu kama Tundu Lisu.
Tanzania mmejaa wajinga wengi
Ukopaji huu hata Mjinga anashtuka kwamba tunapigwa.Toka mwaka 1961, tupate uhuru nchi imekuwa ikikopa na kila rais aliyepita alikopa, this is a formulae, na itaendelea kuwepo!
Imagine babu tale nae ni mbunge, hata uwezo wa kujenga na kutetea hoja hana. Alitukosea sana.Naunga mkono hoja
Ndivyo nchi inavyoendeshwa, utaumilia weee, chunga puuza tusonge mbele, huyo mzalendo mwenyewe alikutwa na mabilioni ndani mwake!Ukopaji huu hata mjinga anashtuka kwamba tunapiga.
Ndivyo nchi imavyoendeshwa, utaumilia weee, chunga puuza tusonge mbele, huyo mzalendo mwenyewe alikutwa na mabilioni ndani mwake!
Alizungumza ukweli,na ukweli waanza onekana nyakati hizi.Ndugu zangu mnisaidie, kila wakati ile kauli ya yule bwana inanipitia mpaka ndotoni nini maana yake?
Mimi huwa nashangaa eti watu wanamkumbuka Magufuli kumbe hii ndio legacy yake aliyoiacha, kujaza wapumbavu bungeni alijuwa anawakomowa Chadema, haya kiko wapi sasa?Ayo yote ni mazara ya makufuli jiwe uyo ndo chanzo cha yote haya yanayoendelea sasa
Uchumi mbovu
Bunge bovu
Viongozi wa mikoa na wilaya wa hovyo
Machawa kibao
Ayo yote ni jiwe aliyaleta na ametuachia
Inasikitisha sana hii nchi imelaaniwa sanaImagine babu tale nae ni mbunge, hata uwezo wa kujenga na kutetea hoja hana. Alitukosea sana.
Kwa kunilekebishaNashukulu kwa kunilekebisha
Ndio vizuriAnakopa nyingi alafu hawezi kuzisimsmia watu wanakula tu
Unahiyo technology? msiwe mnaongea kufurahisha umati ndo maana magu alisema ni bora tuyachimbe wenyewe, hata kama itachukua miaka 20 kupata wafanisi na tech.Hayo madini tuliyogawa kwa kukopeshwa pesa, tungeyauza tungepata hela zaidi ya hiyo tuliyokopeshwa.
Akili mtu wangu..!🤸