Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ndugulile akikagua baadhi ya madarasa ya kiwango cha juu kabisa aliyoyasimamia yeye mwenyewe kwa fedha zilizotolewa na mh rais wetu.Habari ya mwaka mpya wana jamii forum.
wanaccm kila wanapoangalia madarasa haya mapya ya sekondary hasira dhidi ya Ndugai zinaongezeka na kumuona kama msaliti
Sidangajike Ndugai ni Spika, sio Kama Pole Pole. Ni mkuu katika mihimili mitatu. Kutaka kumtimua au kumuita CCM wajipage.Ndugai kakalia kuti kavu mda wowote anatimuliwa.
Yapo mkuu, karibu kila shule imepata vyumba kadhaa. Hasa shule za Sekondari.Ili nijue
Mbona unawasemea watu ? Sema biashara hewa na magumashi ndio zilipata tabu Ila biashara zote za haki mambo yalikuwa poaHawamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu, waulize wafanyabiashara, wakulima wa mahindi, mbaazi, korosho, wafanyabiashara biashara maduka ya fedha, wanasiasa nje ya CCM na ndani, pia tambua kipindi kigumu ni jinsi kinavyo adhiri makundi mengi!
Hao wanadhani wanavyotimuana kwenye magroup ya watsap wanadhan na sehemu nyingine ni hivyo hivyoSidangajike Ndugai ni Spika, sio Kama Pole Pole. Ni mkuu katika mihimili mitatu. Kutaka kumtimua au kumuita CCM wajipage.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndugai alipitishwa na vikao vyote vya CCM tena kwa kupigiwa kura na kuibuka mshindi ndipi jina lake likaenda kupigiwa kura na wabunge wote ambapo aliibuka kidedea kwa kuwashinda wagombea wenzake.Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake....
Ngoja yaendelee kuparuana yenyewe, yamezorotesha upinzani. Sasa hakuna kwa kupeleka kelele zao ni bora tu yaparuane tuone mikwaruza yao. Ni likundi linalojifikiria lenyewe kama vile hakuna watu wengine. Na sisi tumezidisha ujinga na uoga. Ubatili mtupu. [emoji24][emoji24][emoji24]Ndugai alipitishwa na vikao vyote vya CCM tena kwa kupigiwa kura na kuibuka mshindi ndipi jina lake likaenda kupigiwa kura na wabunge wote ambapo aliibuka kidedea kwa kuwashinda wagombea wenzake...
Mambo ya CCM hayo mtajuana wenyewe dadeeeekiNdugai alipitishwa na vikao vyote vya CCM tena kwa kupigiwa kura na kuibuka mshindi ndipi jina lake likaenda kupigiwa kura na wabunge wote ambapo aliibuka kidedea kwa kuwashinda wagombea wenzake. Huyo anayesema Ndugai alimshinda Makinda kwa fitina ni zaidi y kipofu kwa sababu kama ni lawama angezielekeza kwa wajumbe wa vikao vya CCM waliompigia kura Ndugai.
Tafuteni fursa za uteuzi kwa akili basi sio kujitoa ufahanu kwa arguments za kitoto.
ndio, aende sangoma na kwa waganga wa kienyeji kama hizo ndio options za matibabu zilizopo kwa mamilioni ya Watanzania wengineWe una roho na nafsi ya kichawi kabisa, ulitaka aende kwa sangoma au mganga wa kienyeji au ulitaka afe???
Ndugai yupo poa kabisa.Ndugai jitu la hovyo kabisa, sijui alipataje uspika
Msukuma na Kibajaji wanna IQ kubwa Sana wale....ni tofauti kabisa na huyu galasa na mnywa ulanzi wa Njombe....hovyo kabisa huyu mwenezi....huwezi kuwasilisha hoja kihivyo....Hahaha vipi kuhusu kibajaji na msukuma??
Kila zama na Musiba wake
Nimecheka balaa, nafungulia mwaka hiiHii ni funga mwaka🤣