Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

wakati ndugai anapata uspika anna makinda alishastaafu. Anna makinda alipata uspika ili kumpunguza kasi sitta.
Huyo Mwenyezi ni Juha tu Ndugai alikuwa naibu spika wa Makinda sasa amekuwa Spika baada ya Malinda kustaafu inakuwaje leo aje hapa kuonge upumbavu! Watu wenye akili mdogo kama hawa eti ndo wanamjibu spika?
 
Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake....
Ngole acha hizo,supika ni mtanzania ametoa mawazo yake yaheshimuni na yeye mmheshimu Kama kuna makosa basi waliombeba wanastahili hizi lawama siyo yeye la sivyo Kama alijibeba sawa.
 
Habari ya mwaka mpya wana jamii forum.
wanaccm kila wanapoangalia madarasa haya mapya ya sekondary hasira dhidi ya Ndugai zinaongezeka na kumuona kama msaliti
 
Ndugai atulie.... wengine michango ya tsh.15,000 kwa kaya kujenga vyumba vya madarasa na tsh. 13500 kujenga zahanati tumeanza kusahau. Hajui jinsi wenyeviti wa vijiji na vitongoji wanavyotusumbuaga kiasi Cha kukamatiwa mifugo yetu.
 
Sioni tofauti kati ya akili za Ndugaye na Mwendazake, ni watu wa kuropoka tu katika mambo.--- kweli katika miaka 5 iliyopita nchi ilipitia pagumu sana.

Mungu anazidi kutupigania katika kipindi hiki cha Mama.
 
Naunga mkono hoja.
"MAGUFULI ALIIHARIBU SANA HII NCHI"
 
Madarasa yenyewe yakowap?
058C9CE1-C020-4ABB-BBAC-0E24F4F2C504.png
 
Ndugai atulie.... wengine michango ya tsh.15,000 kwa kaya kujenga vyumba vya madarasa na tsh. 13500 kujenga zahanati tumeanza kusahau. Hajui jinsi wenyeviti wa vijiji na vitongoji wanavyotusumbuaga kiasi Cha kukamatiwa mifugo yetu.
Ni sawa lakini hofu ya Ndugai na Wengine ni hatujui wenye pesa zao watatufanya nini wakati wa kudai pesa zao ukifika.

Hizi hoja zakujifananisha na Japan na Ufaransa hazina maana yoyote.

Ni bora Mzungu akikudai ukijiliza anaweza kuingia imani, maana utetezi wenu wakati mwingine ni kuwatuhumu "mlitutawala mkatunyonya'...Ngoma ipo kwa Mchina baba lao...akisema anakula Watu itabidi nusu ya population tuchinjwe.
 
Habari ya mwaka mpya wana jamii forum.
wanaccm kila wanapoangalia madarasa haya mapya ya sekondary hasira dhidi ya Ndugai zinaongezeka na kumuona kama msaliti

Miaka 60 ya Uhuru wako unaringia Madarasa?
 
Sioni tofauti kati ya akili za Ndugaye na Mwendazake, ni watu wa kuropoka tu katika mambo.--- kweli katika miaka 5 iliyopita nchi ilipitia pagumu sana.

Mungu anazidi kutupigania katika kipindi hiki cha Mama.

Una miaka mingapi ya kuzaliwa? Unajua kipindi kigumu cha inchi hii ww?
 
Back
Top Bottom