Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

Huyu bwana amemchanachana Ndungai na "RAFIKI" yake huyo anayeshinda naye bungeni wakidanganyana kupeana Urais kisa anajibujibu vimaswali, tena huwa vinapangwa, anapewa kabla, akifika pale anajifanya eti kashtukizwa.

Rais ana chama, Rais ana watanzania.

Sasa wataongea, na hakuna Polisi watawakamata, Sasa na nyie igeni muone nani anaamuru Polisi nchi hii
 
CCM yangu ni jinamizi dhidi ya nchi hii.

Tuna changamoto lukuki lakini viongozi wanafungua vigenge vya majibizano mbele ya umma
 
Una miaka mingapi ya kuzaliwa? Unajua kipindi kigumu cha inchi hii ww?
Hawamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu, waulize wafanyabiashara, wakulima wa mahindi, mbaazi, korosho, wafanyabiashara biashara maduka ya fedha, wanasiasa nje ya CCM na ndani, pia tambua kipindi kigumu ni jinsi kinavyo adhiri makundi mengi!
 
Ndugai jitu la hovyo kabisa, sijui alipataje uspika
 
Funga macho yako kisha utikise makalio ujue angalau kama unakiasi kidogo cha akili kimebaki maana kichwani huko ni empty set. Once mhuni always mhuni.
 
Ni ccm haohao waliokubali kumuwekea spika kinga ya kushtakiwa, yaani kwa kifupi Rais na Spika wanatoshana nguvu[emoji23][emoji23]

Walidhani wanawakomoa wapinzani, kumbe wanajikomoa wao.
 
Nimekuja kugundua kuwa CCM ni upumbavu fulani hivi wa kishabiki tu.

Go to hell CCM! Fvkk u!

No increment, no employment for youth graduates!
 
Ni ccm haohao waliokubali kumuwekea spika kinga ya kushtakiwa, yaani kwa kifupi Rais na Spika wanatoshana nguvu[emoji23][emoji23]

Walidhani wanawakomoa wapinzani, kumbe wanajikomoa wao.
Anachekechwa kisiasa tu,atatosha nyamaume huyu, hata yule aliyempiga fimbo,alimpiga kabla hajapata kinga, akibisha DPP yupo
 
Hivi kila mkoa na wilaya wakiamua kutoka ma kumjibu Job si itakuwa vurugu?

Mwenyekiti wa Chama ni kama alijibu kimtindo. Kinachotaka kuendelea sasa ni uzwazwa tu na ukambare. Kuna mambo mengi ya msingi sana na yenye tija kwa raia ya kuyatolea matamko/ufafanuzi kama wana hamu ya kuongeaongea
 
Ni ccm haohao waliokubali kumuwekea spika kinga ya kushtakiwa, yaani kwa kifupi Rais na Spika wanatoshana nguvu[emoji23][emoji23]

Walidhani wanawakomoa wapinzani, kumbe wanajikomoa wao.
Ccm wakishindwana kidola wanahamia kwenye matumizi ya silaha za moto, utasikia tu fulani ameshambuliwa na watu wasiojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja kugundua kuwa CCM ni upumbavu fulani hivi wa kishabiki tu.

Go to hell CCM! Fvkk u!

No increment, no employment for youth graduates!
July mama alisema anapandisha mahahara, 2022, ajira zitamwagika kama mvua ya enzi za nuhu, andaa vyeti tu mkuu, wenye roho mbaya Mungu kawafyeka 2021, March 17
 
Tatu bora ya CCM ya 1995 alikuwa Benjamin Mkapa, Cleopa Msuya na Jakaya Kikwete …walipoingia ulingoni Jk aliekuwa mgeni kabisa kwny cabinet kwa miaka mitano tu aliwagaragaza wenzie waliokuwa mawaziri tangu yeye akiwa shule…Nyerere ikabidi atose Boya kuokoa chama.

Tatu bora ya nyingine ya 2005 alikuwa Jakaya Kikwete, Dr.Salim Ahmed Salim na Prof Mark Mwandosya

Walipoingia ulingoni Jk aliwapiga kwa KO ya papo kwa papo…Siasa ya Bongo mipango sio CV wala uwezo wa kujenga hoja
Erasto Ngole ana maneno mengi yasiyo na point
 
Back
Top Bottom