#COVID19 Ndugai: Chanjo ni hiyari ila hauna hiyari kuambukiza wenzako

Hatuwezi kumkwepa mzungu wakati tunalala kwake na hata majina haya katupa yeye!
Hakika sisi ni wa Mzungu na kwake tutarudi!
 
Nouma sanaaa
 
[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]kama vile nawaona watakavyo tii amri,itakuwa kali sana hii. Gwaji pia kuna spana nyingine ya usajili wa taasisi za dini kila baada ya miaka mitano sijui kama itamuacha salama.
 
Ccm mlikua mnapinga chanjo, mmepatwa na nini tena??
 
Ndio hivyo mkuu gwajinga uingii bungeni mpk uchanjwe hakuna namna
moderators habari kama hizi za uzushi muwe mnazitupa kwenye Dustin.Ni uzushi usio na uthinitisho nà ujinga mtupu

Njia za kujikinga na corona sio chanjo tu kuna kuvaa barakoa na social distance ambazo bunge laziweza nyie madalali wa chanjo aliyewadanganya kuwa kinachotatakiwa bungeni lazima kiwe chanjo tu Nani?

Waweza kaa social distance tosha

Chanjo chanjo hoja zenu mufilisi
 
Hapa Ni Tanzania Sio ulaya
Nchini Ufaransa kama hujachanjwa hutaruhusiwa kuingia sokoni, supermarkets, disco nk.
Nchini Saudi Arabia kama hujachanjwa hutaruhusiwa kuhudhuria ibada ya Hijja.
Nadhani nasi tutaiga hilo kama ilivyo kawaida, na hivyo utaratibu huo ukiletwa hapa yafaa tuunge mkono tu.
 
Hatuwezi kumkwepa mzungu wakati tunalala kwake na hata majina haya katupa yeye!
Hakika sisi ni wa Mzungu na kwake tutarudi

Ya Nchi za watu yaacheni huko Sisi sio Nchi zao na si.kila mtanzania ana mpango wa kwenda hizo Nchi zao huko.kwao sio mbinguni nyie miroho mipenda kwao Nchi za watu ndio mwende mkachanje
 
[emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]kama vile nawaona watakavyo tii amri,itakuwa kali sana hii. Gwaji pia kuna spana nyingine ya usajili wa taasisi za dini kila baada ya miaka mitano sijui kama itamuacha salama.
Unahangaika na kiongozi unasahau kuwa ana maelfu ya watu nyuma!!!! Matumizi ya nguvu si sahihi kwenye hili swala Chanjo.Inatumika nguvu kubwa kuliko ushawishi Lita explode hili .Mwisho sio mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…