#COVID19 Ndugai: Chanjo ni hiyari ila hauna hiyari kuambukiza wenzako

Hapo n ndipo gwaji yupo sawa kama waliochanjwa wanajilinda sawa na wasiochanjwa then chanjo ya nini?
 
Mabunge yote yanayofuata taratibu za Westminster wabunge wake lazima wachanjwe ,acha mbumbavu wako hapa

USSR
 
Kwa sheria ipi? kinachotakiwa ni kupimwa pale langoni unapoingia mjengoni na si vinginevyo, kuchanja ni hiari.
Baki na sheria , usituletee ujinga wenu wa kukataa kutahiliwa

USSR
 
Kuna zile imani kuwa kuna majini huwa wanaishi kwa umbile la mwanadamu, kuna majini ni wasanii, wanamichezo, watumishi wa dini, wahudumu wa migahawa, pale bungeni kuna hilo jini.
 
Noma Sana hata misikitini na kanisani .maca bila chanjo huuingii kuswali


USSR
Kanisa gani au msikiti gani unauongelea hapa mkuu? Hizo chanjo zimekuja kiasi gani hadi watu wote wapate kiasi cha kuwabagua watu kwenye nyumba za ibada?

Kama bunge linamaanisha kweli vita na mapambano dhidi ya uviko mbona waligoma kuendesha vikao vya bunge kwa mtandao? Haya mambo ya kukurupuka ndio yametupandishia bei za mafuta na sukari, mbaya zaidi wamekuja na tozo.

Aina ya ukurupukaji huu huu umeendrkezwa hadi baadhi ya kesi zinatakiwa ziendeshwe kwa mtandao wakati zingine watu wanahudhuria kwa kisingizio kile kile cha uviko.
 
Tetesi,habari au sijaelewa?
Kwanza ni hiari hawawezi Fanya huu ujinga

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Mabunge yote yanayofuata taratibu za Westminster wabunge wake lazima wachanjwe ,acha mbumbavu wako hapa

USSR
Bunge lazima likubaliane kwa kuweka kanuni hawaibuki kwa ohh sipika kasema au katibu wa bunge kasema au Raisi kasema au

ushabiki ukizidi mnasahau hata kujua kuwa Kuna sheria na kanuni za bunge .Mnadhani Mambo ya uswahilini tu sio kirahisi hivyo

Hoja yako Ni umbeya tu usio na ushahidi wa kikanuni Wala kisheria za bunge.

Kwa kweli kwa ushauri huu uko chini ya kiwango mno Tena mno

Hakuna bunge linaiga bunge lingine duniani mabunge hufuata kanuni na sheria Zinazoongoza bunge lao walizojitungia wenyewe

Huwezi kwenda na uswahili bungeni eti ohh Westminster bunge la uingereza hufanya hivi?
Very sad ushauri wako uko below sea level

Uko sifuri kabisa
 
Bunge gani hivi umesoma shule wewe hujui mifumo ya mabunge duniani kwani hawana kamati za kuamua hapa.

Nikusaidie unafahamu kazi ya kamati inayotunga sheria na kanuni za bunge?

Mwambie gwajiboy na poleople wakae nyumbani mapema

USSR
 
Bunge gani hivi umesoma shule wewe hujui mifumo ya mabunge duniani kwani hawana kamati za kuamua hapa.

Nikusaidie unafahamu kazi ya kamati inayotunga sheria na kanuni za bunge?

Mwambie gwajiboy na poleople wakae nyumbani mapema

USSR
Huna hoja ya maana .Ushabikiwa uliopitiliza wa chanjo umekuondolea uwezo wa kujenga hoja
 
Ni busara kwa wabunge wote ,wafanyakazi wa wizara ya afya,wafanyakazi wote wanaofanya kazi katika viwanja vya ndege vya JNIA,KAdCo na Zanzibar kuchanja Chanjo ya uviko-19.Ili Tanzania nayo itokomeza gonjwa hili.Maisha yaendelee
 
Hapo ndo tutajua kuhusu misimamo yao.Maslahi yao yakiguswa.😂😂
 
Huna hoja ya maana .Ushabikiwa uliopitiliza wa chanjo umekuondolea uwezo wa kujenga hoja
Ushabiki ??? Tumia akili kufikiri kila hatua Mambo yanabadilika

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…